Yanga yakanusha taarifa za kuachana na Kocha Nabi

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi.

Katika taarifa ya Yanga, wananchi wametakiwa kufuatilia habari za klabu yao pendwa kupitia vyanzo rasmi pekee.

===============

Klabu ya Yanga imekanusha taarifa za uvumi kuhusu kuachana na kocha wake Mkuu zilizoanza kusambaa mitandaoni kuanzia kumalizika kwa mechi na watani wao Simba.

Uongozi wa Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki na Wanachama wake kuwa Nasreddin Nabi, bado ni kocha mkuu wa timu yetu.

Nabi alijiunga na Yanga April, 2021 na amekuwa na rekodi nzuri ya kuiongoza timu yetu kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, bila kupoteza.

Akizungumza na YANGA MEDIA, Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine amewaomba mashabiki na wanachama wa Yanga kufuatilia taarifa za uhakika za timu yao kupitia vyanzo rasmi vya habari vya klabu.

“Niwaombe mashabiki na wanachama wetu kuwa na utaratibu wa kufatilia taarifa za klabu yetu kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari.

“Tuna YANGA APP. Tuna Website ya Young Africans na kurasa zetu za mitandao ya kijamii ambazo zimekuwa zikitoa taarifa za klabu yetu na kwa wakati sahihi,” alisema Andre.

Uongozi unamtakia kila la kheri kocha Nabi na benchi lake la ufundi kwenye maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya KMC utakaopigwa saa 1:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
 
Tunaiombea KMC iwafumue Utopolo kimoko tu cha mkwezi
 
Kuna mwana Simba kaichafua sana Yanga asubuhi hii kwenye Status zake, sasaivi nimemtumia screenshots za Taarifa rasmi kutoka Yanga App na kumuomba kwa heshima awaombe radhi viewers wake kwa kuwapa Taarifa za vijiwe vya kahawa.

Sasaivi ameninunia na hajibu Tena message [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uvumi wa Tanzania haujawahi kumuacha salama mvumiwaji time will tell....mifano ni mingi hata JPM walikataaa kata kata haumwi.
 
Kuna mwana Simba kaichafua sana Yanga asubuhi hii kwenye Status zake, sasaivi nimemtumia screenshots za Taarifa rasmi kutoka Yanga App na kumuomba kwa heshima awaombe radhi viewers wake kwa kuwapa Taarifa za vijiwe vya kahawa.

Sasaivi ameninunia na hajibu Tena message [emoji3][emoji3][emoji3]
Mashabiki wengi wa makolo huwa ni mapopoma.
 
Yanga ya Nabi iliishafika kwenye peak Imefikia kile Cha mafanikio.

Hana UBAVU WA kuifikisha timu zaidi ya hapo...

Pamoja na kwamba siasa za uchaguzi zimeigharimu sana yanga.

Zimemuua kabisa Nabi.

Kisinda.
Bigirimana.
Morison.
Bangala kwenye central Back.
Kambole
Lomalisa.

Nk nk nk
 
Azzam wanawapakia vumbi la Congo, nyinyi jitoweni akili tu kukata mauno kwenye ngoma isiyowahusu.
Taratibu. Mama anasema vijana hawana nguvu ndiyo wanatumia dongo la Kongo. Kwa ivo Azam nao hawana nguvu??
 
Back
Top Bottom