Yanga yakanusha taarifa za kuachana na Kocha Nabi

Yanga yakanusha taarifa za kuachana na Kocha Nabi

Huyo Nabi hata kwa kumtazama hana amani kufanya kazi hapo utopolo yupoyupo tu, naamini moyoni anatamani kuondoka ni muda tu atakitifua kwa waarabu Ili mbaki na zile 0.5
 
Waendelee tu mbon prof nabi ni bonge la kocha..ingawa hajawahi kuwa na bahati na michuano ya kimataifa
 
Nabi alipewa mechi tatu tu za hatua ya shirikisho mbili na ile ya derby zimebaki mbili safari ya sudani imekaribia akafundishe madrasa
 
Back
Top Bottom