YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

Kama uo mkataba ulikua wakughushi kwanini Tff wasijiridhishe kabla ya ku uingiza kwenye System za Fiffa na ku utuma maana uu usajili wa Morrison ni wa ndani ya nchi, ina maana Tff walisha jiridhisha kuanzia ndani mbaka kimataifa. Mikataba ya wachezaji wote wa soka apa nchini Tff wanayo.
 
Juzi yanga wametoa list ya wajezaji walioachwa, Morisson amebakishwa, leo unatangaza umemsajili mchezaji bure, yanga wanasema wana mkataba hadi 2022
Haya mambo ya kibabaishaji hayatakiwi yafanywe na Simba
Shame
I am disappointed kwa kweli
Kutoa list sio ndo kumsajili mkuu. Usajili ni mkataba. Morrison anasema signature iliyoko kwenye mkataba wa Yanga sio yake. Labda kawathibitishia Simba hivyo.
 
Hapo wewe ndio umekuja na jazba. Mwenzio kafafanua kinagaubaga kanuni zinasemaje kuhusiana na mtu akifanya makosa kama waliyofanya simba. Wewe mbio ukihemea mashine. Kwa hiyo tulia hapo sindano ukukolee
 
Uchebe alisema Simba haiwezi kuendelea kwakua kuna watu un educated, Ismail Aden Lage akiwa mweyekiti wa Simba alisema Simba ni Mbumbumbu mimi ninasema Simba bado ni mbumbumbu ila sasa wapo kwenye daraja la pekeyao ni next level .
Sio kweli, unamjua Senzo ?! Wewe
Simba SC ya sasa ina watu weledi sana, tumetoa M200+ kumpa Morison , maana uwezo wake unajulikana.
 
Sio kweli, unamjua Senzo ?! Wewe
Simba SC ya sasa ina watu weledi sana, tumetoa M200+ kumpa Morison , maana uwezo wake unajulikana.
Uyo Morrison kwakua alisha idhinishwa na Tff kimatataifa kama ni mchezaji halali wa Yanga, ina maana inabidi Tff waiandikie barua Fiffa kwamba walikosea kumuidhinisha Morrison kwenda Yanga.
kwakua uyo mchezaji tayari yupo kwenye System za kimataifa kwa mfumo wa kimataifa wausajili kama mchezaji halali wa Yanga,
System haiwezi kukubali tena kumsajili mchezaji mmoja kuchezea timu mbili katika nchi mmoja.
Tff ikitokea waka mwidhinisha Morrison Simba, Yanga wata anzia moja kwa moja Caf au Fiffa. Kitakacho kuja kutokea Simba wataogopa kumchezesha kwakua timu zitamkatia rufaa Caff au Fiffa.Tunaposema Simba ni mbumbumbu fc tunazungumza kwa uhalisia kabisa.
 

Na kama mlifoji saini ya Morrison mjiandae kwenda jela manake itakua jinai
 
Kwa hili Simba wameniangusha na mpira wa Bongo hauendelei kwa ujinga kama huu
Yaana wanasajili wachezaji bila kuonhea na timu husika
Shame on them

Kwa akili yako unaona uongozi wa Simba haukufanya utafiti na kujua status ya mchezaji kabla ya kumsainisha, saa nyingine unao waona ni wajinga ni werevu mara mia yako. inawezekana hujawahi kushiriki usajili hata kwenye team za mtaani ila unatoa ushauri kwa mkurugenzi wa Simba aliye ziongoza mpaka team kubwa Africa. What a Joke?
 
Tff sio mwisho mkuu, najua mnalingia uwepo wa kina Karia pale Karume!
 
Kweli nimeamini manyani fc ni uneducated hivi hawajui lini mfumo wa tms unafanya kazi ule mfumo kuna muda unafunguliwa na kufungwa lini sio kila wakati unaweza kuingia kwenye huo mfumo
 
We ndo unaonekana mbumbumbu, we unaongea nadharia lakini unataka nadharia zako zionekane zina ukweli,
 
Yanga kusema kuwa Morisson ana mkataba hadi 2022, ni tosha uwa usajili wa mizengwe
Shame on Senzo, Mo Dewji na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…