YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

Uchebe alisema Simba haiwezi kuendelea kwakua kuna watu un educated, Ismail Aden Lage akiwa mweyekiti wa Simba alisema Simba ni Mbumbumbu mimi ninasema Simba bado ni mbumbumbu ila sasa wapo kwenye daraja la pekeyao ni next level .

Sisi mbumbu ila tutachukua ubingwa mara tano mfululizo ndio mtajua hamjui
 
tunaangalia kiwango cha mchezaji.
Sisi simba hatuna haja ya kuwakomoa yanga mchezaji mzuri tumempenda tumemsainisha kosa letu lipo wapi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mimi ni Simba pia ila angalia hiki kikosi
Deo kanda
Ibrahim Ajib
Hassan dilunga
Luis Miquissone
Shiza Kichuya
Cloutus Chama
Francis Kahata
Hao wote wanatosha
Tatizo la hawa wazee wa Simba na Yanga wana ujinga yaani mtu aliwafunga goli moja ndio lazia wamtoe, upuuzi huu uishe
IMG_20200808_134731_063.JPG
 
Mbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?

Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?

Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
Muongo wewe yondani na Abdul hawakuwepo kwenye list ya wachezaji waliobakishwa Bali uongozi ulisema unafanya nao mazungumzo kama watakubaliana basi watawajumuisha kwenye wachezaji wanaobaki na ikiwa hawatakubaliana basi wangeachana nao
 
Tunaenda kimataifa lazma tusajili
Mimi ni Simba pia ila angalia hiki kikosi
Deo kanda
Ibrahim Ajib
Hassan dilunga
Luis Miquissone
Shiza Kichuya
Cloutus Chama
Francis Kahata
Hao wote wanatosha
Tatizo la hawa wazee wa Simba na Yanga wana ujinga yaani mtu aliwafunga goli moja ndio lazia wamtoe, upuuzi huu uishe
View attachment 1531173

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Morison alishasema mkataba yanga waliopelekea ni feki,walighushi saini na pia wanasubiri TFF kuja na majibu
Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua.

Jambo la kushangaza wakati Tff bado hawajatoa maamuzi ya malalamiko ya Yanga, Simba wamemtangaza rasmi kwamba Benard Morrison ni mchezaji waliye msajili. Sasa wapenzi wa mpira tusubiri Tff watachukua uamuzigani juu ya swala hilo.

Endapo timu ikibainika imemrubuni mchezaji pasipo klabu yake kushirikishwa adhabu zake nikama ifuatavyo. Mchezaji atafungiwa miezi 4 au miezi 6.

Klabu iliyo fanya kosa Itapewa moja ya adhabu zifuatazo.

Onyo, fain, kushushwa madaraja mawili, kuzuiwa kufanya usajili. Kwasasa tunawasubiri Tff kwakua picha ndio linaanza.
 
Mkataba ukisha ingia /Kubali kwenye mfumo wa usajili wa kimataifa yaani TMS ina maana FA yaani chama cha mpira cha nchi husika kimetia baraka zake kwa ku uidhinisha kupitia mtaalamu wa FA husika. Sasa litakua jambo la kushangaza wao walio husika kwenye uo usajili kama chama kupinga jambo ambalo wao Tff wenyewe walili idhinisha.
hahahahahahh yaaani weee uwe makini kwenye hili kuliko Senzo Mbatha anejulikana FIFA kuwa ni mtu wa mpira anaeujua vema uendeshaji wakee??
ushauri tuu vuta pumzi tuu jtatu wala si mbali
utasikia ya kusikiaa
 
Kaka Punguza jazba. Tatizo lenu Yanga mliahadaika na kukubali kukabidhi timu yenu kwa wauza jersey na matapeli maarufu hapa mjini .Simba wapo makini mno "Mwamwedi" hajawahi kuingizwa mkenge kirahisi hivyo subirini Jumatatu mpewe taarifa za usanii uliofanywa na hao matapeli wenu maarufu hapa mjini (Wazee wa Forgery). Na inawezekana wakafungiwa kudhamini Club yenu wasipojiangalia.

He makubwa. Kumbe GSM ishavuta mshiko wa Mo!. Ila huyu Morson si aliletwa na GSM?. Hivyo wana haki ya kula faida.
 
Uchebe alisema Simba haiwezi kuendelea kwakua kuna watu un educated, Ismail Aden Lage akiwa mweyekiti wa Simba alisema Simba ni Mbumbumbu mimi ninasema Simba bado ni mbumbumbu ila sasa wapo kwenye daraja la pekeyao ni next level .
We jamaa inabd uwe karb na hospital mda wowote tutakupoteza afu utopolo wakose mtu wa kuwatetea hapa jamvini
 
Back
Top Bottom