YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

Timu ya YANGA mimi nikiwa mwanachana inpaswa kuwa kali sana kiasi iwe vigumu kwa marefa na TFF kuihijumu. Ref hawezi kukataa goli mbilI au tatu zilizoingia. Na hawezi idhinisha goli la mpinzani lisiloingia. Kuna utatushika mchafu kati ya SIMBA, TFF na ...........! No wonder Manara anatamba miaka 10 mfululizo wanachukua! Kwa TFFF hii ni ngumu yanga kuchukua kombe au kupata haki yeyote!
Sisi mashabiki ndo tunapokosea, Hivi kwa timu ile ya Yanga ingeweza kuchukua ubingwa kweli?
Tuache kucheza ngoma ambayo inawapa nafasi viongozi wa vilabu vyetu ili washindwe kuwajibika.
Kipindi Yanga iko vizr Simba tulikua tunachezeshwa ngoma hiyo hiyo kua TFF inawabeba Yanga wakati kiuhalisia timu yetu ilikua mbovu.
 
Simba imefanya utahira Jana tuna safari ndeefu katika soka letu watanzania na ili tubadilike yatupasa kuondoa Hawa viongoz wa kiswahili Swahili
 
Sikupenda Simba imsajili Morrison kuna uwezekano akaja kuvuruga dressing room yetu na kuvuruga muunganiko wetu wakitimu ni mchezaji mzuri ila anacheza sana na jukwaa, benchi la ufundi inabidi liwe makini sana.
 
Mkataba ulioidhinishwa na FIFA ni ule wa miezi 6 tu, na uliisha Julai 14, Kuna madirisha mawili ya kufanya transfer ya mchezaji wa kimataifa, kubwa ni hili linaloendelea na kumalizika September 10, na dogo huisha January 31. Tukirudi kwenye huo Mkataba wa March wa miaka miwili, si Mkataba halali, na unapingwa kwa vipengele vingi tu lakini muhimu zaidi vipengele viwili. Kipengele cha kwanza umeghushiwa saini ya Morrison, kipengele hiki kitawapa wakati mgumu TFF kuamua, kwani Polisi hawana mamlaka ya kusema hiyo saini ni ya Morrison au sio ya Morrison, sana sana wanaweza sema mwandiko wa saini hiyo unafanana sana na ya Morrison, kimahakama hadi upatikane ushahidi mwingine utakao thibitisha pasi na Shaka kwamba ni Morrison ndiye aliye saini fomu hizo, ushahidi wa picha au video siku hizi haukubaliki sana. Kipengele cha pili ambacho kinauua kabisa huo Mkataba na kuufanya sio halali (Invalid) ni clause moja wapo ya.mkataba huo ambapo Yanga walitakiwa kumaliza malipo ya signing fee ndani ya mwezi moja, lakini Yanga walimwingizia pesa kwenye account mwezi Julai, hivyo tayari Yanga walikiuka masharti ya Mkataba ña kuufanya void (Batili) na inasemekana Morrison aliiamuru benki yake irudishe hizo pesa kwa Yanga. Tayari imekula kwa Yanga, Morrison atakipiga Msimbazi msimu ujao.
Boss ukitama unagundua kuna mistake walifanya yanga so wanaona bora kufa kiume.but why picha za morrison akisinya ni moja tu?,pia contract inayooneshwa ni ile ya 6months?pia navyosikia huo mkataba wa 2yres hauna fungerprint ya morrison,pia waliingiza pesa nusu baadae baada ya kuona kimenuka so viongozi wakubali kuna uzembe umefanyika.am telling morrison anachomoka kwenye hili ndo maana yanga wanatumia nguvu kujibu kuwatuliza fans..mwishoe wataangushia jumba bovu tff....mkataba uwe valid lazima utimize matakwa ya mkataba immediately
 
Mbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?

Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?

Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
Lini walisema wamewabakisha?taarifa ilitolewa kuwa Yondani na Juma wapo kwenye maongezi kuhusu kuongeza Mkataba wakishindwana wanawaacha.
 
Hata kidole gumba walifoji waliweka cha hersi. Hawa jamaa ni manyani kweli kweli.
Hauna tofauti na Eymael...racist...uncivilized...idiot and a stupid football fan...very stupid indeed..you don't even know why why some whites call Africans monkeys..a black calling another black nyani..very stupid and uneducated..
 
Are you a monkey? Why have you panicked this much? You are one of the people who caused people like Eymael to call us Yanga Monkeys and Dogs. Not all Young Africa Fans are Dogs and Monkeys like you. 🦍🦍🦍🦍🦍🦍

Hauna tofauti na Eymael...racist...uncivilized...idiot and a stupid football fan...very stupid indeed..you don't even know why why some whites call Africans monkeys..a black calling another black nyani..very stupid and uneducated..
 
Are you a monkey? Why have you panicked this much? You are one of the people who caused people like Eymael to call us Yanga Monkeys and Dogs. Not all Young Africa Fans are Dogs and Monkeys like you. [emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664]
Ha ha ha ha , wewe Jamaa
 
Sikupenda Simba imsajili Morrison kuna uwezekano akaja kuvuruga dressing room yetu na kuvuruga muunganiko wetu wakitimu ni mchezaji mzuri ila anacheza sana na jukwaa, benchi la ufundi inabidi liwe makini sana.
Kule alikua na njaa ndio maana, huku hawezi coz kunashibe. Sikuzote boss ukishakuwa na njaa hata mfanyakazi hawezi kukuheshimu
 
Kama hizi timu simba na yanga zingekua ulaya nahisi zingepigwa faini kubwa sana zote 2 na kushushwa madaraja huko hawawezi kufanya mambo yakibabaishaji kama hivo
 
Back
Top Bottom