Uchebe alisema Simba haiwezi kuendelea kwakua kuna watu un educated, Ismail Aden Lage akiwa mweyekiti wa Simba alisema Simba ni Mbumbumbu mimi ninasema Simba bado ni mbumbumbu ila sasa wapo kwenye daraja la pekeyao ni next level .
😀😀😀Yanga watatoa mpk tako na sio tamko tu.
Mimi ni Simba pia ila angalia hiki kikositunaangalia kiwango cha mchezaji.
Sisi simba hatuna haja ya kuwakomoa yanga mchezaji mzuri tumempenda tumemsainisha kosa letu lipo wapi?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Muongo wewe yondani na Abdul hawakuwepo kwenye list ya wachezaji waliobakishwa Bali uongozi ulisema unafanya nao mazungumzo kama watakubaliana basi watawajumuisha kwenye wachezaji wanaobaki na ikiwa hawatakubaliana basi wangeachana naoMbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?
Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?
Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
Mimi ni Simba pia ila angalia hiki kikosi
Deo kanda
Ibrahim Ajib
Hassan dilunga
Luis Miquissone
Shiza Kichuya
Cloutus Chama
Francis Kahata
Hao wote wanatosha
Tatizo la hawa wazee wa Simba na Yanga wana ujinga yaani mtu aliwafunga goli moja ndio lazia wamtoe, upuuzi huu uishe
View attachment 1531173
Hiyo ni kazi ya TFF waweke utaratibu kuwa mikataba iwe wazi kwa upande mkataba unaanza lini na unaisha lini. Mambo ya Financal yawe siri.
Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua.
Jambo la kushangaza wakati Tff bado hawajatoa maamuzi ya malalamiko ya Yanga, Simba wamemtangaza rasmi kwamba Benard Morrison ni mchezaji waliye msajili. Sasa wapenzi wa mpira tusubiri Tff watachukua uamuzigani juu ya swala hilo.
Endapo timu ikibainika imemrubuni mchezaji pasipo klabu yake kushirikishwa adhabu zake nikama ifuatavyo. Mchezaji atafungiwa miezi 4 au miezi 6.
Klabu iliyo fanya kosa Itapewa moja ya adhabu zifuatazo.
Onyo, fain, kushushwa madaraja mawili, kuzuiwa kufanya usajili. Kwasasa tunawasubiri Tff kwakua picha ndio linaanza.
Ngoja aanze kugoma kutoka uwanjani ndio mjue mkongo huyo ni nani.
Wakongo sio wa kuwaaminiMorison alishasema mkataba yanga waliopelekea ni feki,walighushi saini na pia wanasubiri TFF kuja na majibu
Wakongo sio wa kuwaamini
Yanga sio wa kuwaamini
Asante kwa kunijuzaNi mghana siyo mkongo
Asante kwa kunijuza
hahahahahahh yaaani weee uwe makini kwenye hili kuliko Senzo Mbatha anejulikana FIFA kuwa ni mtu wa mpira anaeujua vema uendeshaji wakee??Mkataba ukisha ingia /Kubali kwenye mfumo wa usajili wa kimataifa yaani TMS ina maana FA yaani chama cha mpira cha nchi husika kimetia baraka zake kwa ku uidhinisha kupitia mtaalamu wa FA husika. Sasa litakua jambo la kushangaza wao walio husika kwenye uo usajili kama chama kupinga jambo ambalo wao Tff wenyewe walili idhinisha.
Tuone itakuwaje ila kutufunga goli la free kick isiwe sababu ya kuingia kwenye mgogoro wa kipuuziHata hivyo huyu jamaa siyo mtu wa kumwamini ,na sijui kwanini simba waingie kwenye mgogoro usio na maana
Kaka Punguza jazba. Tatizo lenu Yanga mliahadaika na kukubali kukabidhi timu yenu kwa wauza jersey na matapeli maarufu hapa mjini .Simba wapo makini mno "Mwamwedi" hajawahi kuingizwa mkenge kirahisi hivyo subirini Jumatatu mpewe taarifa za usanii uliofanywa na hao matapeli wenu maarufu hapa mjini (Wazee wa Forgery). Na inawezekana wakafungiwa kudhamini Club yenu wasipojiangalia.
Endapo timu ikibainika imemrubuni mchezaji pasipo klabu yake kushirikishwa adhabu zake nikama ifuatavyo. Mchezaji atafungiwa miezi 4 au miezi 6. Klabu iliyo fanya kosa Itapewa moja ya adhabu zifuataz😵n yo, fain, kushushwa madaraja mawili, kuzuiwa kufanya usajili. Kwasasa tunawasubiri Tff kwakua picha ndio linaanza.
Tuone itakuwaje ila kutufunga goli la free kick isiwe sababu ya kuingia kwenye mgogoro wa kipuuzi
We jamaa inabd uwe karb na hospital mda wowote tutakupoteza afu utopolo wakose mtu wa kuwatetea hapa jamviniUchebe alisema Simba haiwezi kuendelea kwakua kuna watu un educated, Ismail Aden Lage akiwa mweyekiti wa Simba alisema Simba ni Mbumbumbu mimi ninasema Simba bado ni mbumbumbu ila sasa wapo kwenye daraja la pekeyao ni next level .