mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sisi mashabiki ndo tunapokosea, Hivi kwa timu ile ya Yanga ingeweza kuchukua ubingwa kweli?Timu ya YANGA mimi nikiwa mwanachana inpaswa kuwa kali sana kiasi iwe vigumu kwa marefa na TFF kuihijumu. Ref hawezi kukataa goli mbilI au tatu zilizoingia. Na hawezi idhinisha goli la mpinzani lisiloingia. Kuna utatushika mchafu kati ya SIMBA, TFF na ...........! No wonder Manara anatamba miaka 10 mfululizo wanachukua! Kwa TFFF hii ni ngumu yanga kuchukua kombe au kupata haki yeyote!
Boss ukitama unagundua kuna mistake walifanya yanga so wanaona bora kufa kiume.but why picha za morrison akisinya ni moja tu?,pia contract inayooneshwa ni ile ya 6months?pia navyosikia huo mkataba wa 2yres hauna fungerprint ya morrison,pia waliingiza pesa nusu baadae baada ya kuona kimenuka so viongozi wakubali kuna uzembe umefanyika.am telling morrison anachomoka kwenye hili ndo maana yanga wanatumia nguvu kujibu kuwatuliza fans..mwishoe wataangushia jumba bovu tff....mkataba uwe valid lazima utimize matakwa ya mkataba immediatelyMkataba ulioidhinishwa na FIFA ni ule wa miezi 6 tu, na uliisha Julai 14, Kuna madirisha mawili ya kufanya transfer ya mchezaji wa kimataifa, kubwa ni hili linaloendelea na kumalizika September 10, na dogo huisha January 31. Tukirudi kwenye huo Mkataba wa March wa miaka miwili, si Mkataba halali, na unapingwa kwa vipengele vingi tu lakini muhimu zaidi vipengele viwili. Kipengele cha kwanza umeghushiwa saini ya Morrison, kipengele hiki kitawapa wakati mgumu TFF kuamua, kwani Polisi hawana mamlaka ya kusema hiyo saini ni ya Morrison au sio ya Morrison, sana sana wanaweza sema mwandiko wa saini hiyo unafanana sana na ya Morrison, kimahakama hadi upatikane ushahidi mwingine utakao thibitisha pasi na Shaka kwamba ni Morrison ndiye aliye saini fomu hizo, ushahidi wa picha au video siku hizi haukubaliki sana. Kipengele cha pili ambacho kinauua kabisa huo Mkataba na kuufanya sio halali (Invalid) ni clause moja wapo ya.mkataba huo ambapo Yanga walitakiwa kumaliza malipo ya signing fee ndani ya mwezi moja, lakini Yanga walimwingizia pesa kwenye account mwezi Julai, hivyo tayari Yanga walikiuka masharti ya Mkataba Γ±a kuufanya void (Batili) na inasemekana Morrison aliiamuru benki yake irudishe hizo pesa kwa Yanga. Tayari imekula kwa Yanga, Morrison atakipiga Msimbazi msimu ujao.
Nioneshe mkataba wa KIKOTI na Namungo![emoji16][emoji16][emoji16].nani kasema ?.
Kuna siri gani kwenye hyo mikataba mpaka isiwekwe hadharani?.
Haya endeleeni kuuficha huo mkataba mchezaji ndo keshaondoka. Sasa tuone hyo mkataba utawasaidia nini
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Lini walisema wamewabakisha?taarifa ilitolewa kuwa Yondani na Juma wapo kwenye maongezi kuhusu kuongeza Mkataba wakishindwana wanawaacha.Mbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?
Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?
Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
Kwahyo Bumbuli neno lake ndo sheria?Hassan bumbuli alitoa RUHUSA KUWA AENDE AKASAJILIWE watu wamefanya yao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nioneshe mkataba wa KIKOTI na Namungo!
Kwahyo Bumbuli neno lake ndo sheria?
Si alikuwa ana jaribu sasa watu wamefanya yao.
"SISI SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ".
mmempa mchezaji mkataba wa miezi 6 alafu mnaleta jeuri
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Jana ilibaki kidogo amvunje kiuno ninja shaibuDawa ni kumroga Morrison miguu iwe mizito
Yes Nyie ni mambumbumbu
Hauna tofauti na Eymael...racist...uncivilized...idiot and a stupid football fan...very stupid indeed..you don't even know why why some whites call Africans monkeys..a black calling another black nyani..very stupid and uneducated..Hata kidole gumba walifoji waliweka cha hersi. Hawa jamaa ni manyani kweli kweli.
Hauna tofauti na Eymael...racist...uncivilized...idiot and a stupid football fan...very stupid indeed..you don't even know why why some whites call Africans monkeys..a black calling another black nyani..very stupid and uneducated..
Ha ha ha ha , wewe JamaaAre you a monkey? Why have you panicked this much? You are one of the people who caused people like Eymael to call us Yanga Monkeys and Dogs. Not all Young Africa Fans are Dogs and Monkeys like you. [emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664][emoji1664]
Ha ha ha ha , wewe Jamaa
Kule alikua na njaa ndio maana, huku hawezi coz kunashibe. Sikuzote boss ukishakuwa na njaa hata mfanyakazi hawezi kukuheshimuSikupenda Simba imsajili Morrison kuna uwezekano akaja kuvuruga dressing room yetu na kuvuruga muunganiko wetu wakitimu ni mchezaji mzuri ila anacheza sana na jukwaa, benchi la ufundi inabidi liwe makini sana.