YANGA yakasirishwa na SIMBA SC, kumsajili BM33, watoa tamko

Juzi yanga wametoa list ya wajezaji walioachwa, Morisson amebakishwa, leo unatangaza umemsajili mchezaji bure, yanga wanasema wana mkataba hadi 2022
Haya mambo ya kibabaishaji hayatakiwi yafanywe na Simba
Shame
I am disappointed kwa kweli
Mbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?

Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?

Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
 
Kwa akili yako unaona uongozi wa Simba haukufanya utafiti na kujua status ya mchezaji kabla ya kumsainisha, saa nyingine unao waona ni wajinga ni werevu mara mia yako. inawezekana hujawahi kushiriki usajili hata kwenye team za mtaani ila unatoa ushauri kwa mkurugenzi wa Simba aliye ziongoza mpaka team kubwa Africa. What a Joke?
Simba kuna wachezaji wengi wenye kiwango zaidi ya Morisson, He doesn't worth this kind of drama, kilichofanywa na Simba ni uswahili wa Viongozi wa Simba na Yanga, hauwezi kuondoka kamwe.
Shame on Mo Dewji na Manara wake
 
Mbona walisema wamembakiza Kelvin Yondani na Juma Abdul baadaye wakasema wameachana nao kwa kuwa wamegoma kusaini mikataba mipya?

Una uhakika gani Kama Morisson alikuwa na mkataba Kama mlivyoaminishwa?

Simba haikurupuki! Usilalamikie usilolijua!
Sasa hapa Simba wangemsajili Yondani ingekuwa perfect and right, Yanga wametangaza ameachwa sio huu upuuzi wa Morisson
 
Elewa kwanza mchezo unavyokwenda.
Mchezaji walimsainisha miezi 6 kwa madai yao walikuwa wanamfanyia majaribio.
Waliopoona morrison kaifunga simba ndipo wakataka wamsajili kwa mkataba wa miaka 2.
wakati huo mnyama mkalii amesharusha ndoano yake kwa morrison.
Yanga kushtuka ndo ule fasta fasta kutaka kumsainisha MIAKA 2 kumbe wameshachelewa.
Kwa hili Simba wameniangusha na mpira wa Bongo hauendelei kwa ujinga kama huu
Yaana wanasajili wachezaji bila kuongea na timu husika
Shame on them

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua.

Jambo la kushangaza wakati Tff bado hawajatoa maamuzi ya malalamiko ya Yanga, Simba wamemtangaza rasmi kwamba Benard Morrison ni mchezaji waliye msajili. Sasa wapenzi wa mpira tusubiri Tff watachukua uamuzigani juu ya swala hilo.

Endapo timu ikibainika imemrubuni mchezaji pasipo klabu yake kushirikishwa adhabu zake nikama ifuatavyo. Mchezaji atafungiwa miezi 4 au miezi 6.

Klabu iliyo fanya kosa Itapewa moja ya adhabu zifuatazo.

Onyo, fain, kushushwa madaraja mawili, kuzuiwa kufanya usajili. Kwasasa tunawasubiri Tff kwakua picha ndio linaanza.
Yote yanawezekana lakini, yanga kuna tatizo, hao viongozi wenu kufanya mambo kiujanja unjanja!!! Simba kuna upenyo tu wameuona na wameutumia huyo kufanya hicho walichofanya!!! Na huenda tff wakawaambia yanga kwenye mkataba huo wa miaka 2,kulikuwa na mapungufu, hao viongozi wa yanga huenda wanayajua kabisa, ila baada ya uamuzi huo watawageukia mashabiki, ohoooo tumeonewa simba inapendelewa, mashabiki ndioooo!!! Sakata linakwisha!!!
 
Ila Morrison kaweza sana kucheza na akili za washabiki na viongozi wa Simba na Yanga
 
Huo mkataba wa miaka 2 ni JANJA JANJA YA GSM.baada ya kuona morrison ameanza kunyatiwa na simba.
Walimsainisha miezi 6 ili kuangalia kipaji chake..
Waambieni GSM watoe mikataba yao na Morrison tuone imesainishwa miaka mingapi?.
Na walimlipa kiasi gani?
Juzi yanga wametoa list ya wajezaji walioachwa, Morisson amebakishwa, leo unatangaza umemsajili mchezaji bure, yanga wanasema wana mkataba hadi 2022
Haya mambo ya kibabaishaji hayatakiwi yafanywe na Simba
Shame
I am disappointed kwa kweli

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kwa ule uchezaji wa morrison wa mechi ya mwisho na simba hakutakiwa asainiwe simba.
Yanga ndio hawakushtuka kumpanga jamaa, kabla ya ile mechi tayari jamaa alikuwa amekubaliana na simba na hata tetesi ziliandikwa humu. Ilikuwa ni hatua ya leo tu ndio inasubiriwa.
 
Elewa kwanza mchezo unavyokwenda.
Mchezaji walimsainisha miezi 6 kwa madai yao walikuwa wanamfanyia majaribio.
Waliopoona morrison kaifunga simba ndipo wakataka wamsajili kwa mkataba wa miaka 2.
wakati huo mnyama mkalii amesharusha ndoano yake kwa morrison.
Yanga kushtuka ndo ule fasta fasta kutaka kumsainisha MIAKA 2 kumbe wameshachelewa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Yaani haya ya kusajili Mchezaji ili muwaumize roho wapinzani wenu ndio upuuzi wanaopenda hawa wazee wa Simba na Yanga, leo Morisson, kipindi kile Hassan Kessy

Huu ujinga uishe na TFF waweke utaratibu mzuri wa usajiri
 
tunaangalia kiwango cha mchezaji.
Sisi simba hatuna haja ya kuwakomoa yanga mchezaji mzuri tumempenda tumemsainisha kosa letu lipo wapi?
Yaani haya ya kusajili Mchezaji ili muwaumize roho wapinzani wenu ndio upuuzi wanaopenda hawa wazee wa Simba na Yanga, leo Morisson, kipindi kile Hassan Kessy

Huu ujinga uishe na TFF waweke utaratibu mzuri wa usajiri

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Huo mkataba wa miaka 2 ni JANJA JANJA YA GSM.baada ya kuona morrison ameanza kunyatiwa na simba.
Walimsainisha miezi 6 ili kuangalia kipaji chake..
Waambieni GSM watoe mikataba yao na Morrison tuone imesainishwa miaka mingapi?.
Na walimlipa kiasi gani?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kazi ya TFF waweke utaratibu kuwa mikataba iwe wazi kwa upande mkataba unaanza lini na unaisha lini. Mambo ya Financal yawe siri.
 
Yanga walisha peleka mkataba wa Morrison TFF tena mkataba ambao Tff kupitia mtaalamu wao wa TMS wali uidhinisha maana TFF wanaye mtaalamu wa TMS. Yanga wakapeleka malalamiko juu ya mchezaji wao Benard Morrison kurubuniwa na Simba wakati anamkataba wa miaka miwili na wao Tff kimsingi walisha utambua.

Jambo la kushangaza wakati Tff bado hawajatoa maamuzi ya malalamiko ya Yanga, Simba wamemtangaza rasmi kwamba Benard Morrison ni mchezaji waliye msajili. Sasa wapenzi wa mpira tusubiri Tff watachukua uamuzigani juu ya swala hilo.

Endapo timu ikibainika imemrubuni mchezaji pasipo klabu yake kushirikishwa adhabu zake nikama ifuatavyo. Mchezaji atafungiwa miezi 4 au miezi 6.

Klabu iliyo fanya kosa Itapewa moja ya adhabu zifuatazo.

Onyo, fain, kushushwa madaraja mawili, kuzuiwa kufanya usajili. Kwasasa tunawasubiri Tff kwakua picha ndio linaanza.
Punguza bangi
 
Back
Top Bottom