Yanga yakimbiwa na wachezaji,Sidney na Moringa waomba kuvunja mikataba

Habari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.

Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.

Huruma
CONGRATULATIONS
 
Attachments

  • VID-20191205-WA0030.mp4
    1 MB
Simba Sports Club is a Tanzanian football club based in Msimbazi ... When it was founded in 1936, the Club was called Queens, it was later changed to Eagles and Dar Sunderland,..historia nzuri sana
 
Simba Sports Club is a Tanzanian football club based in Msimbazi ... When it was founded in 1936, the Club was called Queens, it was later changed to Eagles and Dar Sunderland,..historia nzuri sana
malkia fc
 
Ivunje na bwawa lenyewe la Vyura..Halafu wanataka washindane na Simba SC kwa lipi?
 
Hivi hawa vyura si wafuge hata samaki pale ili wapate kujikimu hata kwa pamper za kulalia za wachezaji
 
😝😝😝😝😝 sitii neno
 
Molinga ameonekana tu baada ya zahera ilitakiwa asepe fasta
 
Kama ni kweli mi atakayeniuma ni Lamine Moro pekee! Hao wengine acha wasepe tu uwezo wao wa kawaida sana hata hapa hapa bongo tunao wengi! Haya ni mapito ipo siku tutasimama imara, Mungu ibariki Yanga! Daima mbele nyuma mwiko!
 
Hata mimi naona hapo mchezaji ni Lamine Moro hao wengine watakuwa wameturahisishia njia kuboresha kikosi chetu kwa kutumia vijana wetu wa ndani.
Kama ni kweli mi atakayeniuma ni Lamine Moro pekee! Hao wengine acha wasepe tu uwezo wao wa kawaida sana hata hapa hapa bongo tunao wengi! Haya ni mapito ipo siku tutasimama imara, Mungu ibariki Yanga! Daima mbele nyuma mwiko!
 
Hivi walimlipa zahera baada ya kwenda kudai chake kweli...??
Naona atakuwa ndio kamsepesha molinga kama ni kweli!
 
Upuuuzi huu hauvumiliki.Mbona si hatujasema kuwa Ausem alifukuzwa simba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…