Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na bora umeniwahi Mdogo wangu. 😀Nimeona nifanye hivyo ili hasira usije ukazimalizia kwa wifi yako bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bora umeniwahi Mdogo wangu. 😀Nimeona nifanye hivyo ili hasira usije ukazimalizia kwa wifi yako bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CONGRATULATIONSHabari zilizopo ni kwamba mshambuliaji wa Yanga Sidney ameandika barua ya kuomba kuvunjwa kwa mkataba wake.
Leo pia striker Molinga ameomba kujitoa Yanga kutokana na kutolipwa mishahara kwa wakati.
Huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bora umeniwahi Mdogo wangu. [emoji3]
malkia fcSimba Sports Club is a Tanzanian football club based in Msimbazi ... When it was founded in 1936, the Club was called Queens, it was later changed to Eagles and Dar Sunderland,..historia nzuri sana
Alisikika mlevi mmoja akisemaSimba Sports Club is a Tanzanian football club based in Msimbazi ... When it was founded in 1936, the Club was called Queens, it was later changed to Eagles and Dar Sunderland,..historia nzuri sana
Kama ni kweli mi atakayeniuma ni Lamine Moro pekee! Hao wengine acha wasepe tu uwezo wao wa kawaida sana hata hapa hapa bongo tunao wengi! Haya ni mapito ipo siku tutasimama imara, Mungu ibariki Yanga! Daima mbele nyuma mwiko!