Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
KAPUMBU mtu mbadi...awapiga uto goli la mbali...wahaha uwanja mzima..!aamua kuwafuata na kuwajaza akishangilia alivyowapiga goli..View attachment 1915355
FT Yanga 1 - 2 Zanaco
Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL.
Kwa wale wasiofahamu ni kwamba leo Yanga imecheza mechi 3. Under 20 wamechezea kichapo kitamu. Yanga Princes wametoa droo. Utopolo wenyewe wamechezea cha kulalia.
Kifupi TPL imeisha cha msingi ni kuandaa lawama tu kwa TFF.
3rd lawSimba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu[emoji23]
wale wale kivipi. Timu ya 14 Afrika unailinganisha na timu ya 70Simba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu๐
Walimanisha mshale wa saa kumbe[emoji23][emoji23]View attachment 1915443
Huyu ndiyo kipa tuliambiwa anadaka mpaka mishale
Mbuli kumlomo๐๐๐ Sika mbuli kukinsuti?!Mimi hata sikushangaa, kwani mbona inafahimika hawa jamaa mpira wao mbuli kumlomo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu anaitwa Kapumbu kawapumbu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu[emoji23]
Uyu atakuwa muarabu wa MoroccoKapumbuuuu
Kuvona na gwee lumbu jangu ๐๐Mbuli kumlomo๐๐๐ Sika mbuli kukinsuti?!
Mtawafunga Wanigeria? Thubutuuu.Simba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu๐