Acha kujifariji madamπ€πSimba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtuπ
Mkuu umefukua kaburi la August 2021πππAcha kujifariji madamπ€π
Kikubwa mmepigwa nyundo.
Lipi Tena Jamani πMkuu umefukua kaburi la August 2021πππ
Umerepy kwenye comment yangu ya 2021.πLipi Tena Jamani π
Maana Nina furaha hapa Hadi mambo mengine sikumbuki
Na mkafika fainal Caf champions league the art of being utopolo.Tulifungwa na kuchukua ndoo
Kwani nimeangalia hata kwamba ni ya lini mama .Umerepy kwenye comment yangu ya 2021.π
Furaha ya kufungwa kwetu? Aisee watu mna roho mbayaπKwani nimeangalia hata kwamba ni ya lini mama .
Si unajua Tena furaha.Me nilitembea nayo tuππ