endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Acha kujifariji madam🤗😂Simba mnachonga sana wakati na nyie walewale tu, ebu tuacheni na siku yetu muhimu bana, tumefungwa sawa ila siyo mbaya next time tutaua mtu😂
Kikubwa mmepigwa nyundo.