Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

Mechi za simba na Yanga hazipimwi hivyo unavyodhani. Labda huzijui timu hizi. Simba na Yanga hupimwa kwa matukio ya nje uwanja. Kwenye siasa za Simba na Yanga nje ya uwanja mko vibaya, kwa kweli msithubutu kuingiza timu maana mtazalisha mgogolo wa muda mrefu
 
Vyuraaaaaaaa!!!!!
Sasahivi mnadabu sana.. Nakumbuka simba pamoja na matatizo yanayojitokeza lakn haijawahi kujitoa kwenye mashindano kisa et kuiogopa yanga
Mikia walipokuwa wana matatizo, walikuwa wanashiriki michuano gani ya kimataifa kiasi cha kuwafanya wajitoe?
 
Vyuraaaaaaaa!!!!!
Sasahivi mnadabu sana.. Nakumbuka simba pamoja na matatizo yanayojitokeza lakn haijawahi kujitoa kwenye mashindano kisa et kuiogopa yanga
Wachezaji wa simba wamepata nafasi ya kupumzika kwa muda mrefu...walikuwa wanawaza ligi kuu tu ila yanga walikuw kwnye competn nyingi.hata sport pesa wameenda kwakuwa wana mkataba nao lasivyo wasingeenda.
 
ni kweli mkuu kwa wakati huu hali aliyonayo yanga,simba anaweza kushinda hata goli 6. viongozi hawataki fedheha
 

I would have done the same thing, good approach kwa yanga kama ni kweli
 
Kwann waiweke yanga na simba group moja? Wanajua wakiweka group jingne uhakika wa yanga kupita ni mdogo kwahyo wanahofia kupoteza mapato TFF na Musonye na katika hayo mashindano yanga na simba ndio zenye mashabiki weng zaidi

Lazima tuwe wakweli katika hili
 
Tofautisha FIFA na CECAFA mashinɗano hayatamɓulik na FIFA ni kama bonanza..tu...
 
Tofautisha FIFA na CECAFA mashinɗano hayatamɓulik na FIFA ni kama bonanza..tu...

Hujui lolote, hata ya kwamba CECAFA ina affiliations na CAF na FIFA! Hakuna haja ya kujadiliana na wewe

 
Hujui lolote, hata ya kwamba CECAFA ina affiliations na CAF na FIFA! Hakuna haja ya kujadiliana na wewe

View attachment 797656
Mi nakwamɓia mashindano unaniamɓia chama heɓ jitafakari
Usiposhiriki CECAFA unapewa aɗhabu gani kulingana na sheria za FIFA....tafakari kwanza hilo we unayejua!
 
Cecafa itaisha tarehe 13. Siku tano baadaye Yanga ina mechi dhidi ya Gor Mahia.
Tanzania itawakilishwa na Azam na Simba. Kama vipi wamwingize Singida United ...
Cecafa haina calender, wanadanga tu. Karne hii lazima wawe na calender. FIFA yenyewe haitaki mashindamo mbuzi mwaka wa World Cup.
Yanga imefanya uamuzi wa busara.
 
Wawafungie tu mashindano yenyewe hayana tofauti na bonanza
Musonye bila Yanga anajua hawapati pesa ya maana. Piga ua, anawataka Yanga Cecafa wapate hela ajilipe malimbikizo ya mshahara.
 
Rahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
 
Siku tano baada ya mashindano kumalizika, Gor Mahia itacheza na Yanga katika confederation cup. Gor hawajajitoa CECAFA (hadi sasa)
 
Siku tano baada ya mashindano kumalizika, Gor Mahia itacheza na Yanga katika confederation cup. Gor hawajajitoa CECAFA (hadi sasa)
Mkuu, kila timu na mipango/priorities zake. Gor wakileta timu ya vijana nani atawauliza ?
Yanga imefikia cycle ya kujijenga upya. Kupanga ni kuchagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…