Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

Wapi Yanga wamekwepa hiyo fedheha? Kwani ni simba pekee ndo
wanashiriki kombe hilo mpaka ionekane wanawakwepa wao?
 
Mkuu, kila timu na mipango/priorities zake. Gor wakileta timu ya vijana nani atawauliza ?
Yanga imefikia cycle ya kujijenga upya. Kupanga ni kuchagua.
Si wapeleke tu kikosi kilichoenda Mbeya, au cha vijana kuliko kujitoa kabisa?
 
Nawapongeza Yanga.. Japo hawana sababu za msingi.
 
Niliwahi kusema humu hii timu bora isajiliwe Somalia yaani hapa wanaogopa kupigwa na Simba mvua, nawaambia iyo 18 july Gorimahia watawapiga kumi na naiomba serikali iwaandalie uraia wao wa somalia mpaka lile jengo
 
Huu uongozi wa Yanga uliopo sasa sio wanamichezo, wanasaliti mchezo wa soka.

Vv
 
Tetesi mfadhiri mpya wa Yanga anataka kuipeleka Timu Usuri kutizama Kombe la Dunia
 
Si wapeleke tu kikosi kilichoenda Mbeya, au cha vijana kuliko kujitoa kabisa?
Wanawaogopa tu Simba, vingine vyote ni vizingizio vya kitoto.

Nadhani mwaka huu CECAFA watawafungia kwa miaka kadhaa bila msamaha.

Vv

Vv
 
Cecafa itaisha tarehe 13. Siku tano baadaye Yanga ina mechi dhidi ya Gor Mahia.
Tanzania itawakilishwa na Azam na Simba. Kama vipi wamwingize Singida United ...
Cecafa haina calender, wanadanga tu. Karne hii lazima wawe na calender. FIFA yenyewe haitaki mashindamo mbuzi mwaka wa World Cup.
Yanga imefanya uamuzi wa busara.
Kwani gongowazi tarehe 13 mtakuwa bado mpo kwenye mashindano ya kagame?? SI mtatoka tu raundi ya kwanza???

Pelekeni timu tuwapige hamsa!
 
Musonye bila Yanga anajua hawapati pesa ya maana. Piga ua, anawataka Yanga Cecafa wapate hela ajilipe malimbikizo ya mshahara.
Ndala FC siku hizi Wala hamhudhuriii uwanjani,
 
Tofautisha FIFA na CECAFA mashinɗano hayatamɓulik na FIFA ni kama bonanza..tu...
Hata kwenye kalenda y'a T. F. F haya mashindano hayakuwepo, yamechomekwa tu ili Watu wapige Mpunga. Miaka kadhaa nyuma hayakufanyika kwa Nini ? Leo yanafanyika kwa ghafla, jiulize kuna Nini zaidi ya kumtafutia Mnyama kiki nyepesi. Yanga safi kwa uamuzi mliouchukuwa, hata kama wakiwafungia poa tu, Ila Hawana ubavu huo maana Cecafa n'a T. F. F Wanahitajika Yanga kuliko Yanga inavyowahitaji wao, usuniulize kwa nini
 
Rahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
Mtaishia raundi ya kwanza nyie vyuraa hamuendi popoteee
 
Rahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
Sababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.
 
Sababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.
Kwako hazina mashiko kwao zinamashiko kama hutaki tengeneza Yanga nyingine ishiriki
 
Ni namba mkuu, Yanga wanajua wakiwa kwenye hali kama waliyonayo sasa mara nyingi wanafungwa magoli kuanzia 4, 5, 6 + Kwa siasa za Simba na Yanga ni bora kujiweka kando kuliko kubebeshwa mzigo kama huo. Yanga mna bahati maana Simba ingevunja rekodi zake zote za idadi ya magoli ilizojiwekea dhidi yenu

Mikia wanalazimisha rekodi kwa Yanga dhaifu na Yanga wamelishtukia hilo
 
Kwako hazina mashiko kwao zinamashiko kama hutaki tengeneza Yanga nyingine ishiriki
Siwezi kulazimisha yanga ishiriki,lakini kila mwenye akili timamu anajua kwa nini yanga hashiriki.Lakini sio kwa sababu uchwara walizotoa.
 
Mikia wanalazimisha rekodi kwa Yanga dhaifu na Yanga wamelishtukia hilo
Sema kwa Yanga, sio kwa Yanga dhaifu, maana iliyopo ndio hiyo hiyo wala hazipo Yanga mbili
 
Back
Top Bottom