Wanawaogopa tu Simba, vingine vyote ni vizingizio vya kitoto.Si wapeleke tu kikosi kilichoenda Mbeya, au cha vijana kuliko kujitoa kabisa?
ndiyo aina ya washabiki maandazi wa Simba FC walivyoo na tumrishawazoea.matusi ya nini mkuu wengine hatuwezagi kuvumilia hayo madude utachafua hali ya hewa hapa.
Kwani gongowazi tarehe 13 mtakuwa bado mpo kwenye mashindano ya kagame?? SI mtatoka tu raundi ya kwanza???Cecafa itaisha tarehe 13. Siku tano baadaye Yanga ina mechi dhidi ya Gor Mahia.
Tanzania itawakilishwa na Azam na Simba. Kama vipi wamwingize Singida United ...
Cecafa haina calender, wanadanga tu. Karne hii lazima wawe na calender. FIFA yenyewe haitaki mashindamo mbuzi mwaka wa World Cup.
Yanga imefanya uamuzi wa busara.
Ndala FC siku hizi Wala hamhudhuriii uwanjani,Musonye bila Yanga anajua hawapati pesa ya maana. Piga ua, anawataka Yanga Cecafa wapate hela ajilipe malimbikizo ya mshahara.
Hata kwenye kalenda y'a T. F. F haya mashindano hayakuwepo, yamechomekwa tu ili Watu wapige Mpunga. Miaka kadhaa nyuma hayakufanyika kwa Nini ? Leo yanafanyika kwa ghafla, jiulize kuna Nini zaidi ya kumtafutia Mnyama kiki nyepesi. Yanga safi kwa uamuzi mliouchukuwa, hata kama wakiwafungia poa tu, Ila Hawana ubavu huo maana Cecafa n'a T. F. F Wanahitajika Yanga kuliko Yanga inavyowahitaji wao, usuniulize kwa niniTofautisha FIFA na CECAFA mashinɗano hayatamɓulik na FIFA ni kama bonanza..tu...
Mtaishia raundi ya kwanza nyie vyuraa hamuendi popoteeeRahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
Sababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.Rahisi namna hiyo Siku nne za mapumziko?
Au Yanga ipeleke kikosi B?
Mashindamo ya CAF u sacrifice na bonanza la Cecafa ili wapate nini?
Endelea kutabiriNimeitabiria hii timu kushuka daraja mwakani.
Kwako hazina mashiko kwao zinamashiko kama hutaki tengeneza Yanga nyingine ishirikiSababu walizotoa Yanga hazina mashiko kwenye kujitoa,maana Goro mahia,nahao wanyaranda wapo kwenye mashindano na bado wanashiriki cecafa.
Ni namba mkuu, Yanga wanajua wakiwa kwenye hali kama waliyonayo sasa mara nyingi wanafungwa magoli kuanzia 4, 5, 6 + Kwa siasa za Simba na Yanga ni bora kujiweka kando kuliko kubebeshwa mzigo kama huo. Yanga mna bahati maana Simba ingevunja rekodi zake zote za idadi ya magoli ilizojiwekea dhidi yenu
Siwezi kulazimisha yanga ishiriki,lakini kila mwenye akili timamu anajua kwa nini yanga hashiriki.Lakini sio kwa sababu uchwara walizotoa.Kwako hazina mashiko kwao zinamashiko kama hutaki tengeneza Yanga nyingine ishiriki
Kumbe ndio hofu yako hio, kufungwa na Mikia,namikia kutengeneza rekodi kwenye yanga dhaifu?.Mikia wanalazimisha rekodi kwa Yanga dhaifu na Yanga wamelishtukia hilo