Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Lazima utakuwa na elements za ushirikina/uchawiWanafurahia kulifunga timu bovu bila aibu,ngoja mwenye timu yake aisuke upya halafu waende na kiherehere chao waone.
Shabiki wa timu bovu anavyosheherekea kuifunga timu mbovu.Lazima utakuwa na elements za ushirikina/uchawi
Wivu ni mzigo wa ndani ya moyo, poleni wafiwa,Wanafurahia kulifunga timu bovu bila aibu,ngoja mwenye timu yake aisuke upya halafu waende na kiherehere chao waone.
hata FA Ihefu atajibomolea mtu tena zaidi ya 3...NIMEKAA PALEEEMzembe hii hata Ihefu inajibokolea tena zaidi ya 3.
Ushoga kabisa, uchawi mbona unampa ujiko au ndugu yako huyo?Lazima utakuwa na elements za ushirikina/uchawi
Basi na kipindi hicho timu yeyote mbovu ingeweza kujipigia, history history what is history??Mzembe hii hata Ihefu inajibokolea tena zaidi ya 3.
Ukiona Mazembe wabovu kalete timu yako unayoiamini.Mzembe hii hata Ihefu inajibokolea tena zaidi ya 3.
The 2016 CAF Confederation Cup group stage was played from 17 June to 24 August 20162016 yanga ilikuwa ktk makundi kombe LA shirikisho? Hebu weka ushahidi hapa.
Pos | Team | Pld | W | D | L | GF | GA | GD | Pts | Qualification | |
1 | TP Mazembe | 6 | 4 | 1 | 1 | 10 | 5 | +5 | 13 | ||
2 | MO Béjaïa | 6 | 2 | 2 | 2 | 2 | 2 | 0 | 8 | ||
3 | Medeama | 6 | 2 | 2 | 2 | 8 | 8 | 0 | 8 | ||
4 | Young Africans | 6 | 1 | 1 | 4 | 4 | 9 | −5 | 4 |
Mwanga anaekuroga unaishi nae nyumba moja na story kila siku unapiga nae Ila Giza likiingia anakuwangia,Africa mchawi wa mtu ni mtu.
Al hilal iliwabomoa ndo mkashuka kwenye kombe la waliofeli kwa wababe.Ukiona Mazembe wabovu kalete timu yako unayoiamini.
Al hilal ndiyo timu yako siku hizi?Al hilal iliwabomoa ndo mkashuka kwenye kombe la waliofeli kwa wababe.
Una lingine?
Hebu mchakato wake ulikuajee, ili nijiridhisheeThe 2016 CAF Confederation Cup group stage was played from 17 June to 24 August 2016
Pos Team Pld W D L GF GA GD Pts Qualification 1TP Mazembe 6 4 1 1 10 5 +5 13 2MO Béjaïa 6 2 2 2 2 2 0 8 3Medeama 6 2 2 2 8 8 0 8 4Young Africans 6 1 1 4 4 9 −5 4
2016 CAF CONFEDERATION CUP - GROUPS AND STANDINGSHebu mchakato wake ulikuajee, ili nijiridhishee
| DATE | HOME | SCORE | AWAY |
| 2016-06-19 16:00 | 3 - 1 | Medeama Sc | |
| 2016-06-19 22:15 | 1 - 0 | Young Africans | |
| 2016-06-28 15:00 | 0 - 1 | TP Mazembe | |
| 2016-06-29 15:00 | 0 - 0 | MO Bejaia | |
| 2016-07-16 19:00 | 1 - 1 | Medeama Sc | |
| 2016-07-17 20:45 | 0 - 0 | TP Mazembe | |
| 2016-07-26 17:00 | 3 - 1 | Young Africans | |
| 2016-07-27 15:30 | 1 - 0 | MO Bejaia | |
| 2016-08-13 16:00 | 1 - 0 | MO Bejaia | |
| 2016-08-14 17:00 | 3 - 2 | TP Mazembe | |
| 2016-08-23 | 1 - 0 | Medeama Sc | |
| 2016-08-23 | 3 - 1 | Young Africans |
Yanga alicheza makundi mara mbili mfululizo shirikisho 2016 na 2017 na mara zote aliburuza mkia2016 yanga ilikuwa ktk makundi kombe LA shirikisho? Hebu weka ushahidi hapa.