Mwanga anaekuroga unaishi nae nyumba moja na story kila siku unapiga nae Ila Giza likiingia anakuwangia,
Mkuu watu wameanza kuangalia mipira juzi.
Miaka nenda rudi tulikuwa tunafungwa na team za ajabu ajabu.
Wachana na hayo Kenya hapo wakienda Olympic wanabeba medani za dhahabu za mbio ndefu,imekuwa inafahamika hivyo daima.
Njoo Tanzania tunajikongoja huku na kule..sasa sikiliza Watanzania wenyewe.
Hatuelewiki tupewe nini?
Ndio maana watu wanakula tu pesa na hakuna la kuwafanya.
Ilitakiwa zifike hata team nne ziwe mtu akija hapo Mkapa anapigwa,tukienda kwao mtu anapigwa.
Hizo ni ajira na zitasaidia vijana kimaendeleo.
Ona Ronaldo kule anakula Mshahara ambao hapa Tanzania kusanya wastaafu Million watafikia mapato yale.
Nchini kwao kuna Team pia zinaeleweka na zina sajili vijana.
Njoo huku sisi tuliozaliwa na roho pana ,uzandiki,chuki.
Yanga na Simba walipofikia wapongezwe.CAF na Shirikisho hakuna wabovu huko,wabovu ni walioshindwa hizo mbio kuingia tola Awali.