OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage
Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi
Nisaidieni kushangaa wanaJF
MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa kipa wa Yanga, Mkongomani, Klaus Kindoki amefariki dunia huko nyumbani kwao DR Congo huku yeye akikacha mazishi kwa ajili ya kuipambania timu yake inayojiandaa kujitupa uwanjani leo.
Yanga inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage huko mkoani Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuwa mgumu.
Yanga haijali kabisa matatizo ya wachezaji