Yanga yamchezesha kipa aliyefiwa na baba yake juzi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage

Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi

Nisaidieni kushangaa wanaJF

MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa kipa wa Yanga, Mkongomani, Klaus Kindoki amefariki dunia huko nyumbani kwao DR Congo huku yeye akikacha mazishi kwa ajili ya kuipambania timu yake inayojiandaa kujitupa uwanjani leo.

Yanga inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage huko mkoani Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuwa mgumu.

Yanga haijali kabisa matatizo ya wachezaji
 
Kwani hii ni ajabu.???..kwa Yanga au Simba ni jambo la kawaida...wako wachezaji waliofiwa kama Kindoki lakini walicheza mpira...huko ulaya pia ni jambo la kawaida sana...kama unataka mifano nitakuletea hapa orodha ndefu kabisa...
 
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage

Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi

Nisaidieni kushangaa wanaJF

MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa kipa wa Yanga, Mkongomani, Klaus Kindoki amefariki dunia huko nyumbani kwao DR Congo huku yeye akikacha mazishi kwa ajili ya kuipambania timu yake inayojiandaa kujitupa uwanjani leo.

Yanga inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage huko mkoani Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuwa mgumu.

Yanga haijali kabisa matatizo ya wachezaji

Soma hapa (kama unajua English na kama hujui omba msaada) halafu urudi hapa utuambie

9 Footballers Who Overcame Personal Tragedies to Carry on Playing
 
Yanga ipo uwanjani leo uwanja wa Kambarage

Ajabu ni kwamba kipa wake Kindoki ataanza leo huku akiwa kafiwa na mzazi wake juzi

Nisaidieni kushangaa wanaJF

MZEE Kindoki Nkinzi ambaye ni baba wa kipa wa Yanga, Mkongomani, Klaus Kindoki amefariki dunia huko nyumbani kwao DR Congo huku yeye akikacha mazishi kwa ajili ya kuipambania timu yake inayojiandaa kujitupa uwanjani leo.

Yanga inatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Kambarage huko mkoani Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuwa mgumu.

Yanga haijali kabisa matatizo ya wachezaji
Mkuu kwani wasipo mchezesha baba ake atafufuka?
 
we umetumwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pambana na hali yako huko simba, YA YANGA HAYAKUHUSU... KWANZA HUJUI NINI KIPO NYUMA YA PAZIA
 
Back
Top Bottom