Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Achana na masuala ya Yanga wakati wewe ni Simba na Chadema Damu. Hivi una habari kuwa Mbowe yupo lupango, muulize Erythrocyte maana yupo anapika kumpelekea uji. Ila mkumbuke mtu akihudhuria msiba wa aliyekufa kwa COVID-19 lazima aji lockdow.

Je Mbowe wenu anaisambaza mwanza baada ya kuhudhuria maziko ya kaka yake aliyekufa kwa Corona kutokana na makijidai yake? Jibu analo brazaj
 
Wewe huna akili na huna hadhi ya kujadili kitu na mimi. Tafuta wajinga wenzio mjipikilishe
 
Washaanza uswahili wao. Au kakataa muamala wao!! Wanataka marefa wa kwenye pay roll yao.
 
Waseme wanamtaka nani sasa
 
Na hivi wamepata bas jipya bas hatuhemi
 
Teh, wameshapanga penati tata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…