Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Yani mwamuzi mmoja anachezesha game za simba kwanzia 4 mfululizo kombe hilo hilo nyie mnaona ni sawa tu??? Aisee kuna shida
 
Mbona barua yenyewe wameandika kiuoga hivyo! Hawajamkataa, wametilia shaka tu.

Kisaikolojia kwa kumuogopa Refa tu ni wazi Yanga ishafungwa goli nje ya uwanja.
Hapo mwamuzi lazima aingie upepo...usishangae favor zikawa kwa yanga
 
Back
Top Bottom