Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Yanga wamezoea kubebwa na marefa si ajabu hii ni janja yao ili refa akiwabeba tena watu wasishituke
 
Yaani utopolo wapo kienyeji mnoo,yaani wanawapangia hadi tff refa wa kuchezesha mechi yao,kwa hiyo asipobadilishwa hawataingiza timu uwanjani?

Hii mijamaa inatia aibu kweli soka letu,yaani kika siku ni mijitu ya hila na malalamiko tu
kipindi hiki wakiingia tu, tunafunga geti hakuna kutoka mtu mpaka dakika 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani utopolo wapo kienyeji mnoo,yaani wanawapangia hadi tff refa wa kuchezesha mechi yao,kwa hiyo asipobadilishwa hawataingiza timu uwanjani?

Hii mijamaa inatia aibu kweli soka letu,yaani kika siku ni mijitu ya hila na malalamiko tu
Minunda mingi mule....
 
Si shabiki wa mipira yenu ya kitanzania lakini kimantiki inatia shaka mwamuzi mmoja kuchezesha mechi 4 consecutively. Hata wewe liangalie hilo halafu njoo na uchambuzi usioegemea upande wowote tuone. Hata mahakamani hili haliwezi kutokea kesi NNE zinazomhusu mshtakiwa mmoja kupewa hakimu mmoja.
Kwani mshitakiwa hapa ni nani tuanzie hapo.
 
Kwani Tanzania kuna uhaba wa marefa?
Refa mmoja achezeshe mechi tatu zinazo fuatana?
Robo yeye, nusu yeye, mpaka fainali? Hapa karia kakaria mwenyewe, asitutanie Wananchi.
 
Yanga wana hoja ya msingi, ingawa haters mtapinga na kukejeli. Hata kama huyo mwamuzi ana ubora gani, ilitakiwa TFF waangalie mwamuzi tofauti kabisa, na ambaye hakuchezesha mechi za karibuni za timu hizo mbili!

Na kama hakuna waamuzi wengine wenye sifa, isipokuwa huyo Arajiga! basi hii ni aibu nyingine kwa shirikisho la mpira wa miguu nchini.
 
washauri wasiingize timu
 
Yanga wanacheza na akili ya mwamuzi washaanza kumtia pressure ili awape upande wao kimaamuzi aogope.
 
Tuliambiwa Yanga ispokuwa bingwa wa komnbe la ligi 2020/2021 wasilaumiwe wachezaji bali walaumiwe GSM, ukifuatilia hii kauli utagundua kuwa Yannga haijawekeza katika mpira wa uwannjani, bali wanacheza nje ya uwanja na kuingia na matokeo uwanjani! Kwa hiyo katika hii mechi ya fainali tayali wameshapata matokeo yao sasa wanatafuta wa kumwangushia jumba bovu!
Yanga ni Club kubwa sana nchini kwetu, lakini ajabu wameshindwa kutambua kuwa katika mashindano yoyote hata waamuzi pia huwa wanashindanishwa na kwenda robo fainali, nusu fainali hadi Fainali yenyewe! Ndio maana huwa kuna zawadi ya MWAMUZI BORA au COUPLE BORA ya waamuzi waliochezesha mchezo flani. Zaidi ya yote katika kila mashindano huwa kuna waamuzi waliochaguliwa na kupangwa kuchezesha mashindano husika, kwa hiyo si kila mwamuzi anaweza kupachikwa tu muda wowote aingie kuchezesha mashindano husika!
Yanga wekezeni nkatika soka la uwanjani , achaneni na hizo lamli chonganishi vinginevyo mtasubiri sana! Mmeshaambiwa Simba ndiyo iliyowabeba mkabishi eti hamtaki kubebwa na Simba, sasa mnataka kulazmisha kubebwa na refa??
 
Yanga wana hoja ya msingi, ingawa haters mtapinga na kukejeli. Hata kama huyo mwamuzi ana ubora gani, ilitakiwa TFF waangalie mwamuzi tofauti kabisa, na ambaye hakuchezesha mechi za karibuni za timu hizo mbili!

Na kama hakuna waamuzi wengine wenye sifa, isipokuwa huyo Arajiga! basi hii ni aibu nyingine kwa shirikisho la mpira wa miguu nchini.
Ila yanga mnapenda kuwalalamikia tff sana. Mnalalamika sana alafu uwezo mdogo
 
Back
Top Bottom