DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Angalia heading yako kama ni kweli umeandika tetesi...。Inawezekana ikawa uongo ndio mkuu ndomana nimesema TETESI
Phili hawezi kuja yanga aache kucheza michuano ya kimataifa na zanaco na hili limeshatolewa ufafanuzi,
Simba wameshindwa kumsajili huyu sababu ana usajili wa caf ktk michuano ya kimataifa na wao wanahitaji mchezaji atayewasaidia kule kimataifa endapo wakimchukua huyu basi atacheza michuano ya ndani tu kama ilivyokuwa kwa chikwende,sasa wa kazi gani,ndio maana wanasaka kwengine.....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app