Mwache Boban acheze mbona 'wazee' wakitoka nje ya nchi mnawasajili! Kina Kagere, Wawa na huyu Tambwe wetu kwani ni makinda?Age mate wa Boban wote wametundika daluga amri kiemba, Musa mgosi, Ben mwalala,Victor Costa nyumba yaani kabaki kaseja tu Tena kwasababu ni golikipa
Upo sahihi Mkuu, mwenzako Ana njiwa mkononi, wewe una jiwe Na njiwa wawili kwenye mti ili kuwapata lazima urishe jiwe uwauwe uwe nao, unamcheka aliye Na njiwa mmoja mkononi, wanaweza kupeperuka wote ukabaki mikono mitupu!Wakuu tusidharau usijali wa watu na wapo mbele kwa points kwenye ligi kuu,hawana hela ila wana spirit,naheshimu usajili wao,mpira ni ujuzi na spirit,naomba siku tukimaliza viporo na tumewakuta ndo tuanze vijembe vya kiutani.
Masaa sita yamebakia.Usijali kesho mechi mapema tu Azamtv saa 10 jioni mtanange hewani
Usituchafue. Yanga damu hatuko hivyo.Mimi Yanga damu watoto wa twiga na jangwani
Ewaaaaa. Basi watuachage tu na Wahenga wetu.Miaka 285.
Tofauti point 14!!?Nikujua unasema kimechukua ubingwa, kuongeza ligi hata Mbao Fc wakiongoza mwanzoni
Mwingine ni Mzee Akilimali mwenyewe,atacheza nafasi ya beki wa pembeni.kwahiyo wanayanga wenzangu usajili ndio tumemaliza kwa boban au kuna wengine
Bonifasi AmbaniYupi huyo au mwalala?