Yanga yamsajili Haruna Moshi " Boban".

Yanga yamsajili Haruna Moshi " Boban".

Age mate wa Boban wote wametundika daluga amri kiemba, Musa mgosi, Ben mwalala,Victor Costa nyumba yaani kabaki kaseja tu Tena kwasababu ni golikipa
Mwache Boban acheze mbona 'wazee' wakitoka nje ya nchi mnawasajili! Kina Kagere, Wawa na huyu Tambwe wetu kwani ni makinda?
 
Wakuu tusidharau usijali wa watu na wapo mbele kwa points kwenye ligi kuu,hawana hela ila wana spirit,naheshimu usajili wao,mpira ni ujuzi na spirit,naomba siku tukimaliza viporo na tumewakuta ndo tuanze vijembe vya kiutani.
Upo sahihi Mkuu, mwenzako Ana njiwa mkononi, wewe una jiwe Na njiwa wawili kwenye mti ili kuwapata lazima urishe jiwe uwauwe uwe nao, unamcheka aliye Na njiwa mmoja mkononi, wanaweza kupeperuka wote ukabaki mikono mitupu!
 
Makofi kwenye Giza,
Kwa matozi wanaoigiza, warembo wanauliza hivi we ni A.K.A ni jini?
Nawajibu hapana, mi ni A.K.A Zohan
Sina mbwembwe za chenga
Kwa hiyo ni A.K.A BOBAN
 
kwahiyo wanayanga wenzangu usajili ndio tumemaliza kwa boban au kuna wengine
 
Back
Top Bottom