Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

Safi Sana Bwana Hersi. Umefanya jambo jema kuendelea usajili.
 

Attachments

  • Screenshot_20201012-194936~2.png
    Screenshot_20201012-194936~2.png
    244 KB · Views: 2
  • Screenshot_20201012-194936~2.png
    Screenshot_20201012-194936~2.png
    244 KB · Views: 2
Ndio kawaida yenu mikia hamna tofauti katika sekta ya uchafu na pacha wenu chadema, subirini November 7
 
Huu ni upuuzi wa kutaka kuzigawa timu kusiasa.

Utopolo mnatafuta huruma kwa kujinasbisha na siasa!

Chezeni mpira acheni ujinga,vinginevyo mtateseka sana
Aisee kumbe ni cedric kaze ndio kashauri huyo asajiliwe
 
Back
Top Bottom