rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaSafi Sana Bwana Hersi. Umefanya jambo jema kuendelea usajili.
Kama huyu ana miaka 33 yule mzee Onyango atakuwa na 43[emoji16][emoji16][emoji16]Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Si mnasajili vijana halafu mnavunja mikatabaKama huyu ana miaka 33 yule mzee Onyango atakuwa na 43[emoji16][emoji16][emoji16]
Alisikika teja aliyechanganyikiwa jangwaniHuenda ni kweli mikia asilimia 80 ni std 3
Mmehairisha mechi kwa kisingizio mtagoma kupiga kura ila kipigo ni palepaleNdio kawaida yenu mikia hamna tofauti katika sekta ya uchafu na pacha wenu chadema, subirini November 7
Haieleweki wanadai wamemsajili kama mchezaji huru asiyekuwa na timuKwan usajili Bongo bado upo tu
Ndio kawaida yenu mikia hamna tofauti katika sekta ya uchafu na pacha wenu chadema, subirini November 7
Aisee kumbe ni cedric kaze ndio kashauri huyo asajiliweHuu ni upuuzi wa kutaka kuzigawa timu kusiasa.
Utopolo mnatafuta huruma kwa kujinasbisha na siasa!
Chezeni mpira acheni ujinga,vinginevyo mtateseka sana