Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

Nikumbusheni,huyu hakuwepo wakati simba ilipocheza na Vitalo na kufungwa 6?
 
Hamna jipya hapa ,kwa sababu wakati Simba wanawapiga Vitalo goli 6-0 huyu naye alikuepo.
 
Hamna jipya hapa ,kwa sababu wakati Simba wanawapiga Vitalo goli 6-0 huyu naye alikuepo.
Jaribu kufikilia kimpira zaidi badala ya kiushabiki. Embu tuambie mchezaji mmoja peke yake anawezaje kuzuia timu isifungwe? Chama ni mchezaji mzuri sana lakini wakati Simba inakula goli tano tano alikuwepo. Mnataka kusema chsma ni mbovu kisa tu timu yake imebugia magoli matano matano?
 
Kwa mchezaji huru anasajiliwa wakati wowote hata kama dirisha limefungwa
 
Hakuna mbumbumbu atakaye jibu post yako, wote Wanapita Kama vile hawaioni.
 
Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Huna mambo ww hata kuelezea hujui umeishie neno utopolo na umri miaka 33tuletee mambo mapya ya huyo mchezaji sio kuishia utopolo na umri
 
Huna mambo ww hata kuelezea hujui umeishie neno utopolo na umri miaka 33tuletee mambo mapya ya huyo mchezaji sio kuishia utopolo na umri
Timu yako halafu mi ndio nikuletee mambo mapya yupe kocha Eymael tunsmtafuta tumpe phd yake baada ya utafiti aliyofanya kwa muda mfupi na kugundua nyie ni uneducated, manyani mnabweka kama mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…