EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
dirisha la usajili bado lipo wazi???Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dirisha la usajili bado lipo wazi???Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Waulize Simba "A" TFF.[emoji16][emoji16][emoji16]dirisha la usajili bado lipo wazi???
Mbona povu mkuu????Waulize Simba "A" TFF.[emoji16][emoji16][emoji16]
Nafikiri watasubiri dirisha dogo kwa mujibu wa maelezo yao walimfatilia muda mrefu ila timu yake ilimwekea ngumudirisha la usajili bado lipo wazi???
AlikuwepoNikumbusheni,huyu hakuwepo wakati simba ilipocheza na Vitalo na kufungwa 6?
Nikumbusheni,huyu hakuwepo wakati simba ilipocheza na Vitalo na kufungwa 6?
Ha ha ha scout wamefanyakazi lini au ndio kukurupuka hukoNi yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Basi hawa Vyura majibu washapata kwamba wamesajiri garasaAlikuwepo na sita walikula
Jaribu kufikilia kimpira zaidi badala ya kiushabiki. Embu tuambie mchezaji mmoja peke yake anawezaje kuzuia timu isifungwe? Chama ni mchezaji mzuri sana lakini wakati Simba inakula goli tano tano alikuwepo. Mnataka kusema chsma ni mbovu kisa tu timu yake imebugia magoli matano matano?Hamna jipya hapa ,kwa sababu wakati Simba wanawapiga Vitalo goli 6-0 huyu naye alikuepo.
Walikwepa kumlipia ada ya usajili wamesubiri mkataba uishe halafu wanataka kufanya janiajanja kwamba hakuwa na timuHa ha ha scout wamefanyakazi lini au ndio kukurupuka huko
Hakuna mbumbumbu atakaye jibu post yako, wote Wanapita Kama vile hawaioni.Jaribu kufikilia kimpira zaidi badala ya kiushabiki. Embu tuambie mchezaji mmoja peke yake anawezaje kuzuia timu isifungwe? Chama ni mchezaji mzuri sana lakini wakati Simba inakula goli tano tano alikuwepo. Mnataka kusema chsma ni mbovu kisa tu timu yake imebugia magoli matano matano?
Huna mambo ww hata kuelezea hujui umeishie neno utopolo na umri miaka 33tuletee mambo mapya ya huyo mchezaji sio kuishia utopolo na umriNi yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
Timu yako halafu mi ndio nikuletee mambo mapya yupe kocha Eymael tunsmtafuta tumpe phd yake baada ya utafiti aliyofanya kwa muda mfupi na kugundua nyie ni uneducated, manyani mnabweka kama mbwaHuna mambo ww hata kuelezea hujui umeishie neno utopolo na umri miaka 33tuletee mambo mapya ya huyo mchezaji sio kuishia utopolo na umri