Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.Watu wengi nawaonaga wanamsifia huyo Lunyamila basi inaonesha jamaa anajua mpira kwelkwel dah! Kiukwel nimekosa vitu vingi ila Hawa wachezaji ninaowaona sasa hiv ni pasua kichwa.
Angekuwa ndiyo Diamond anakujibu angesema "Zilipendwa". Wakumbushe na jinsi wazee kandambili walivyomgn'oa meno ya mbele kipa wao Sahau Kambi kwa kipigo.Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
Enzi za kibadeni nilikuwa sijazaliwa au kama nilikuwa nimezaliwa basi sikuwa hata na 5 yrs. Sahau Kambi why aling'olewa meno?Hii siifahamu.Itakuwa siyo enzi yangu hii.Angekuwa ndiyo Diamond anakujibu angesema "Zilipendwa". Wakumbushe na jinsi wazee kandambili walivyomgn'oa meno ya mbele kipa wao Sahau Kambi kwa kipigo.
Inaonesha unapenda sana Historia. kumbushia na zile sita mtungi za kina Kibadeni.
Basi wewe hujakua kipindi cha Edibily Lunyamila. Pole maana enzi hizo pia Simba alikuwepo Nteze John Lungu.
Lungu ilikuwa nick name. Yeye ni muha wa Kigoma. Alikuwa anaitwa Nteze John.
Duh upo vizuri Kuna baadhi ya wachambuzi wa soka wa hapa bongo historia Kama hizo hawajui alafu wanajiita magwiji wa uchambuzi wa soka.Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
View attachment 1311448
Inawabidi wawe na imani tu na watu wao!
nteze john lungu tafadhali tunaomba majibu
Huyu ni nani mkuu.
Hii Yanga siyo kwa kweli. Hii Yanga siyo ile niliyoipenda enzi nipo mtoto nachukua karatasi naandika list yote ya Yanga kuanzia Rifat Said/Stephen Nemes mpaka Edibily Lunyamila. Hapo kati Sanifu Lazaro,Thomas kipese,Keneth Mkapa,Godwin Aswile,Salum Kabunda ,Issa Athumani,Athuman China,Said Mwamba na wengine kibao.
Mshindo msola akiwa na kikosi matata cha simba veteran huko morogoro
Lunyamila alianza kuuwasha moto tangu 1991 mpaka 2000 mwanzoni, hakika alikuwa ni ya soccer player...1990 mwishoni Edibily Lunyamila alikuwa ni [emoji91]
Huyu ndo alinifanya niipende Yanga nikiwa mtoto kabisa.Lunyamila alianza kuuwasha moto tangu 1991 mpaka 2000 mwanzoni, hakika alikuwa ni ya soccer player...
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwepo hamis Tobias gaga baadae akaja Damian KimtiBasi wewe hujakua kipindi cha Edibily Lunyamila. Pole maana enzi hizo pia Simba alikuwepo Nteze John Lungu.