Yanga yamsimamisha kazi mpiga picha wao

Yanga yamsimamisha kazi mpiga picha wao

Watu wengi nawaonaga wanamsifia huyo Lunyamila basi inaonesha jamaa anajua mpira kwelkwel dah! Kiukwel nimekosa vitu vingi ila Hawa wachezaji ninaowaona sasa hiv ni pasua kichwa.
Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
 
Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
Angekuwa ndiyo Diamond anakujibu angesema "Zilipendwa". Wakumbushe na jinsi wazee kandambili walivyomgn'oa meno ya mbele kipa wao Sahau Kambi kwa kipigo.

Inaonesha unapenda sana Historia. kumbushia na zile sita mtungi za kina Kibadeni.
 
Enzi za kibadeni nilikuwa sijazaliwa au kama nilikuwa nimezaliwa basi sikuwa hata na 5 yrs. Sahau Kambi why aling'olewa meno?Hii siifahamu.Itakuwa siyo enzi yangu hii.
 
Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.
Duh upo vizuri Kuna baadhi ya wachambuzi wa soka wa hapa bongo historia Kama hizo hawajui alafu wanajiita magwiji wa uchambuzi wa soka.
 
Write your reply...Lunyamila alisajiliwa Yanga mwaka 1991 akitokea Biashara Shinyanga,baada
ya kumnyanyasa sana Minziro ndipo akina Ken Mkapa wakashauri asajiliwe, Rifat Said mwaka 1992, mwaka 1990 golini alikaa Sahau Kambi, then Minziro, Mkapa, Aswile, Ninja, Issa Athuman, Sure Boy, China, Makumbi, Kizota halafu Kipese
 
Yanga ni branddd,,yanga ni wananchi,,hata uichukue lipuli uiite yanga basi itakua timu kubwa tu

Mikia yanakufa kwa aibu taifa
Hii Yanga siyo kwa kweli. Hii Yanga siyo ile niliyoipenda enzi nipo mtoto nachukua karatasi naandika list yote ya Yanga kuanzia Rifat Said/Stephen Nemes mpaka Edibily Lunyamila. Hapo kati Sanifu Lazaro,Thomas kipese,Keneth Mkapa,Godwin Aswile,Salum Kabunda ,Issa Athumani,Athuman China,Said Mwamba na wengine kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huko kambini kuna nini cha ajabu hadi wanakatazwa kupiga picha? Sasa mpiga picha anasimamishwa kwa kupiga picha
 
simba wamekuwa matured sana siku hizi, wamefanya mazoezi kwenye uwanja wao ulio wazi kabisa yaani hata kama mtu yupo nyumba za jirani na darubini anawaangalia vizuri tu ila hawa hata mpiga picha wao hawamuamini
 
Back
Top Bottom