Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hawa hamna kitu aisee. Hata siwaelewi kabisa. Enzi zile Simba alikuwa mteja mteja kweli kwa Yanga. Kina Sekilojo Chambua walikuwa moto kweli kweli. Yaani hutoki kwenye radio.Watu wengi nawaonaga wanamsifia huyo Lunyamila basi inaonesha jamaa anajua mpira kwelkwel dah! Kiukwel nimekosa vitu vingi ila Hawa wachezaji ninaowaona sasa hiv ni pasua kichwa.