Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kocha tangu 1994 mpaka sasa kafundisha club 21.
Inaonyesha ni jinsi gani asivyokubalika. Yaani ndani ya 24yrs kafundisha timu 21.
Pierre Liquid ( Zlatko ) tangia lini akawa Kocha? Nimepongeza 'Watani' Kumfukuza japo nadhani lawama Kubwa ziende kwa wale waliomleta nchini.
Yanga inaendeshwa kwa mihemuko sana kushinda mademu wa vyuo.
Unamfukuzaje kocha ambaye hajafungwa hata game moja kwenye ligi, na ametoa droo moja tuu na kushinda zote akiwa ameconcede goli chache sana ilihali kikosi chote amesajiliwa na uongozi bila kushirikishwa hata kidogo !
Wachezaji waliosajiliwa yanga sio wa kucheza mpira pasi , wengi wakutumia maguvu, inakuwaje mtegemee kina Mwanyeto na kina Tusila wacheze kama Tripple C na Bwalya!
Engineer Hersi apewe timu aifundishe tuone kama ni kazi rahisi , kutaniwa tuu na kina Manara Mnacheza mpira Magimbi mnabadili Kocha mnasahau kuwa hamna wachezaji wengi wanaoweza kicheza mpira Biriani ..
Duh.. we jamaa unaudhi sana. Lakini acha wapambane wameyataka wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pierre Liquid ( Zlatko ) tangia lini akawa Kocha? Nimepongeza 'Watani' Kumfukuza japo nadhani lawama Kubwa ziende kwa wale waliomleta nchini.
Sasa hapo ni anajaribu kuzima moto kwa kumwagia Petrol. Kocha atakaerithi mikoba atakua hajaizoea timu hiyo 10-Oct, yaan kama nawaona vile watakavyobugia magoli.Gsm katumia pesa nyingi kununua wachezaji na bado anatumia pesa kulipa marefa na timu pinzani apate ushindi, kachungulia mechi na Simba kaona hata akihonga kipigo hakikwepeki kaamua kujitoa ufahamu na kufukuza kocha
Rage ni nabii wa soka aiseeGsm katumia pesa nyingi kununua wachezaji na bado anatumia pesa kulipa marefa na timu pinzani apate ushindi, kachungulia mechi na Simba kaona hata akihonga kipigo hakikwepeki kaamua kujitoa ufahamu na kufukuza kocha
Hii mada itachangiwa zaidi na Mikia FC kuliko na wana yanga, utafikiri inawahusu
"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".Hii mada itachangiwa zaidi na Mikia FC kuliko na wana yanga, utafikiri inawahusu
Kama rage ni nabii Eymael atakuwa Zaidi ya nabiiRage ni nabii wa soka aisee