Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwaniniHuyu mserbia atakuwa na tatizo si bure..
Haiwezekani asiwe wa kudumu kila anapoenda..Kwanini
Kwanj yanga imebadili makocha wangapi ndani ya miaka mitatu?Haiwezekani asiwe wa kudumu kila anapoenda..
😂😂😂 Embu niache kwanzaKwanj yanga imebadili makocha wangapi ndani ya miaka mitatu?
Wewe ni Mkia pia kama Mikia wenzio"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
Wewe lazima ni mkiaaHawa GSM wanatuharibia sana timu yetu ya Yanga.
Kwanza wanajinufaisha sana kupitia time yetu.
Yaani wanasajiri wachezaji kwa ghalama ya 1b.
Mauzo ya jezi ni 10b.
Faida hata ikipungua sana haishuki zaidi ya 7b.
Na zote wanajinufaisha wao.
Waondoke watuachie timu yetu.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Hao ndio manyani hoja zao za kinyaninyniKwanj yanga imebadili makocha wangapi ndani ya miaka mitatu?
Toka 94 wamepita makocha wangapi yanfaHuyu kocha tangu 1994 mpaka sasa kafundisha club 21.
Inaonyesha ni jinsi gani asivyokubalika. Yaani ndani ya 24yrs kafundisha timu 21.
Eymael ni zaidi kwa sababu aliwatujana "watu weusi" halafu kwa "ujinga walionao" matusi yao wenyewe wameyageuza "msemo"Kama rage ni nabii Eymael atakuwa Zaidi ya nabii
Hakuwatukana watu weusi aliwaambia ukweli yanga ilq kwa sababu ni uneducated wanafikiri walitukanwaEymael ni zaidi kwa sababu aliwatujana "watu weusi" halafu kwa "ujinga walionao" matusi yao wenyewe wameyageuza "msemo"
Sio watu weusi gan? SEMA YANGA.Eymael ni zaidi kwa sababu aliwatujana "watu weusi" halafu kwa "ujinga walionao" matusi yao wenyewe wameyageuza "msemo"
Neno hilo wala sio jipya, mbumbumbu fc. Kina Eto, Kevin Prince Balotelli nk wamekumbana nayo sana tu. Wajinga wa kibongo wanaona fahari wakati watu walikuwa mpaka mechi, hovyo kabisa. Ukiona mtu mweusi anaitwa nyani wewe unakenua meno basi ukapumwe ubongo wako.Hakuwatukana watu weusi aliwaambia ukweli yanga ilq kwa sababu ni uneducated wanafikiri walitukanwa
The reason why wewe ni mbumbumbu. Afrika nzima walikemea kwa sababu ni WAAFRIKA.Sio watu weusi gan? SEMA YANGA.
Matatizo yenu msihusishe waafrika wote, walioitwa manyani, majibwa uneducated ni yanga ila kwa sababu ni kawaida yenu mnataka ionekane afrika nzima imetukanwaNeno hilo wala sio jipya, mbumbumbu fc. Kina Eto, Kevin Prince Balotelli nk wamekumbana nayo sana tu. Wajinga wa kibongo wanaona fahari wakati watu walikuwa mpaka mechi, hovyo kabisa. Ukiona mtu mweusi anaitwa nyani wewe unakenua meno basi ukapumwe ubongo wako.
Hujui hata ni kwa nini jambo hili lilikemewa Afrika nzima, mbumbumbu wewe!!
Manyani always mtaendelea kuwa MINYANI NA MI MBWA. Na unachokifanya ni KUBWEKABWEKA TUThe reason why wewe ni mbumbumbu. Afrika nzima walikemea kwa sababu ni WAAFRIKA.
Ha ha haha, ok muzungu. Siku njema and shame to you.Matatizo yenu msihusishe waafrika wote, walioitwa manyani, majibwa uneducated ni yanga ila kwa sababu ni kawaida yenu mnataka ionekane afrika nzima imetukanwa
Simple searchManyani always mtaendelea kuwa MINYANI NA MI MBWA. Na unachokifanya ni KUBWEKABWEKA TU