Yanga yamtimua Kocha

Wana haki ya kufanya hivi maana kwa mpira wao wangebugia migori na Simba hawa mpk wangejuta.
 
Yanga wanatia huruma sana! Manara anawatoa sana mchezoni
 
Gsm katumia pesa nyingi kununua wachezaji na bado anatumia pesa kulipa marefa na timu pinzani apate ushindi, kachungulia mechi na Simba kaona hata akihonga kipigo hakikwepeki kaamua kujitoa ufahamu na kufukuza kocha
 
Pierre Liquid ( Zlatko ) tangia lini akawa Kocha? Nimepongeza 'Watani' Kumfukuza japo nadhani lawama Kubwa ziende kwa wale waliomleta nchini.
Duh.. we jamaa unaudhi sana. Lakini acha wapambane wameyataka wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gsm katumia pesa nyingi kununua wachezaji na bado anatumia pesa kulipa marefa na timu pinzani apate ushindi, kachungulia mechi na Simba kaona hata akihonga kipigo hakikwepeki kaamua kujitoa ufahamu na kufukuza kocha
Sasa hapo ni anajaribu kuzima moto kwa kumwagia Petrol. Kocha atakaerithi mikoba atakua hajaizoea timu hiyo 10-Oct, yaan kama nawaona vile watakavyobugia magoli.
 
Hawa GSM wanatuharibia sana timu yetu ya Yanga.
Kwanza wanajinufaisha sana kupitia time yetu.
Yaani wanasajiri wachezaji kwa ghalama ya 1b.
Mauzo ya jezi ni 10b.
Faida hata ikipungua sana haishuki zaidi ya 7b.
Na zote wanajinufaisha wao.
Waondoke watuachie timu yetu.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Gsm katumia pesa nyingi kununua wachezaji na bado anatumia pesa kulipa marefa na timu pinzani apate ushindi, kachungulia mechi na Simba kaona hata akihonga kipigo hakikwepeki kaamua kujitoa ufahamu na kufukuza kocha
Rage ni nabii wa soka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…