Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
***La kujiuliza hapa kwa nini simba na yanga tu wafutiliwe?? Kama una nia kweli na una pesa anzisha klabu yako mwenyewe na wekeza pesa na miundo mbinu ya kutosha utafute hayo mafanikio. Inajulikana simba na yanga ni vilabu vya wananchi tena wengi kuna siasa humo kuna maslahi ya watu na mengineo mengi. Sasa yakikuta hayo unasema vilabu hivi uswahili mwingi na havina malengo. Achana navyo anzisha ya kwako katiba yako uongozi wako sasa unapongangania vilabu hivi haki ya kuwa una lalama basi kuna jambo nyuma ya pazia. Haki ya nani..... nashangaa ..Tanzania utaona mengi.
"kuna kitu inaitwa "GOOWILL"/
WANAONUNUA MAN-CITY AU ARSENAL KWANI HAWANA UWEZO WA KUANZISHA VILABU?/
--->>FUTBOL IS BUSSINESS/
KAMA HUKUSOMA BUZ RUDI TENA SHULE../
->>MPIRA WA KISASA UNAITAJI "UWEKEZAJI" UMAKINI,NA WASOMI,VIZEE TUPA KULEEEE..