Yanga yamuajiri mfaransa Dufourg kuwa CEO mpya

Yanga yamuajiri mfaransa Dufourg kuwa CEO mpya

La kujiuliza hapa kwa nini simba na yanga tu wafutiliwe?? Kama una nia kweli na una pesa anzisha klabu yako mwenyewe na wekeza pesa na miundo mbinu ya kutosha utafute hayo mafanikio. Inajulikana simba na yanga ni vilabu vya wananchi tena wengi kuna siasa humo kuna maslahi ya watu na mengineo mengi. Sasa yakikuta hayo unasema vilabu hivi uswahili mwingi na havina malengo. Achana navyo anzisha ya kwako katiba yako uongozi wako sasa unapongangania vilabu hivi haki ya kuwa una lalama basi kuna jambo nyuma ya pazia. Haki ya nani..... nashangaa ..Tanzania utaona mengi.
***
"kuna kitu inaitwa "GOOWILL"/
WANAONUNUA MAN-CITY AU ARSENAL KWANI HAWANA UWEZO WA KUANZISHA VILABU?/
--->>FUTBOL IS BUSSINESS/
KAMA HUKUSOMA BUZ RUDI TENA SHULE../
->>MPIRA WA KISASA UNAITAJI "UWEKEZAJI" UMAKINI,NA WASOMI,VIZEE TUPA KULEEEE..
 
yanga kumbe mnamiliki academy haha haya isijekuwa bwana manji ameleta msimamiza wa kulima shamba la geza ulole maana kina mzee akilimali wamegoma kulima YANGA YETU DAIMA MBELE SUFURIA NYUMA MWIKO
 
Kila Watz Wanne Mmoja ni Kichaa, Lakini Kila Washabiki Wa Yanga Wanne Watatu ni Majuha!!!!

Hivi Nyie Kwa Akili Zenu Kuajiri Mfaransa Kutoka Afrika Atawafanyia Nini Nyie Wanazi Wa Chaneta FC??

Mkodisho Muna mbwembwe kwa mambo ya kiajabuajabu..
 
La kujiuliza hapa kwa nini simba na yanga tu wafutiliwe?? Kama una nia kweli na una pesa anzisha klabu yako mwenyewe na wekeza pesa na miundo mbinu ya kutosha utafute hayo mafanikio. Inajulikana simba na yanga ni vilabu vya wananchi tena wengi kuna siasa humo kuna maslahi ya watu na mengineo mengi. Sasa yakikuta hayo unasema vilabu hivi uswahili mwingi na havina malengo. Achana navyo anzisha ya kwako katiba yako uongozi wako sasa unapongangania vilabu hivi haki ya kuwa una lalama basi kuna jambo nyuma ya pazia. Haki ya nani..... nashangaa ..Tanzania utaona mengi.
Mkuu usichoelewa ni kuwa brand za Yanga na Simba zina Goodwill ya hali ya juu sana ambayo kwenye kuanzisha biashara ni kitu cha muhimu sana. Ndio maana hawa matajiri wetu wanazing'ang'ania. Hukumbuki MO Dewji alianzisha African Lyon kwani leo bado anayo? Tafakari na chukua hatua!
 
Back
Top Bottom