Yanga yangu ya GSM hawana uwezo wa kusajili mkibisha njooni mniwekee kikao niondolewe jf

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
 
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
Wewe ni finance manager wa Yanga? Tuanzie hapo
 
Hapo unadhihirisha kwamba ww ni mnyama usie jitambua maana ukiwa mnyama unakuwa huna utashi kwa hiyo chpchote unaweza piga mayowe. Ile ujue ni klabu inayofanya mambo yake bila kuigirizia kwa mwenzake
 
ULPOJIUNGA WALIKUWEKA KIAKOO ACHA UJINGA
TOKA KWA MDAWAKOO ALLAH
 
Mkuu watani zetu wanaweza kufanya usajili. Kusema kwamba wana uwezo wa kumlipa mshahara Ibenge na Senzo ndio wasiweze kusajili ni kujidanganya.

Ila nionavyo kuwa sisi tumesajili lakini bila kuzingatia mahitaji ya timu.
 
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo

Ukweli mchungu:

Kuna tofauti kubwa sana pale utopolo wanapokuwa na hali ngumu ya kiunchumi na pale Mnyama Simba anapokuwa na hali ngumu ya kiuchumi.

Mautopolo yanauwezo wa kufanya usajili hata bila ya kuwa na wakina Manji, sisi MO akituacha huwa tu tunapoteana kinoma yaani.
Sisi kipindi hatuna Mo wachezaji kama Sserenkuma na Kiongera na Mwanjali na Pape Ndiawu na Kiiza aliyeisha makali ndio zilikuwa sajili zetu.

Wenzetu Utopolo waliweza kusajili akina Tshishimbi, Makambo, Lamile Moro na Metacha....
 
ngoja waanze kubweka kama majibwa na kuzomea kama manyani

Naona utani wa ubaguzi haunaga nafasi kwenye soka, wala tusiuendekeze.

Haswa kwetu sisi watu wenye ngozi nyeusi. "Hakika wazungu watatushangaa kuitana nyani, ikiwa wao wanatuona sisi sote kuwa ni manyani"
 
Hii ni kweli tupu japo umetutusi [emoji23][emoji23]
 
Walioi
Naona utani wa ubaguzi haunaga nafasi kwenye soka, wala tusiuendekeze.

Haswa kwetu sisi watu wenye ngozi nyeusi. "Hakika wazungu watatushangaa kuitana nyani, ikiwa wao wanatuona sisi sote kuwa ni manyani"
Manyani ni yanga sio waafrika
 
AS VITA wamelipa deni la gsm sio kwamba gsm wametoa pesa
 
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
Nadhani umeishapata jibu.

Baada ya kufanya kweli, kuna mwanasiasa mmoja mashabiki wenu kaanza kuleta maneno ya shombo. Yanga isiyo na hela sasa imeanza kutakatisha fedha kupitia mpira. Pombe is not my cup of tea lakini nafurahi alimtumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…