Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni finance manager wa Yanga? Tuanzie hapouswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
ngoja waanze kubweka kama majibwa na kuzomea kama manyani
Ukweli mchungu:
Kuna tofauti kubwa sana pale utopolo wanapokuwa na hali ngumu ya kiunchumi na pale Mnyama Simba anapokuwa na hali ngumu ya kiuchumi.
Mautopolo yanauwezo wa kufanya usajili hata bila ya kuwa na wakina Manji, sisi MO akituacha huwa tu tunapoteana kinoma yaani.
Sisi kipindi hatuna Mo wachezaji kama Sserenkuma na Kiongera na Mwanjali na Pape Ndiawu na Kiiza aliyeisha makali ndio zilikuwa sajili zetu.
Wenzetu Utopolo waliweza kusajili akina Tshishimbi, Makambo, Lamile Moro na Metacha....
Hii ni kweli tupu japo umetutusi [emoji23][emoji23]
Manyani ni yanga sio waafrikaNaona utani wa ubaguzi haunaga nafasi kwenye soka, wala tusiuendekeze.
Haswa kwetu sisi watu wenye ngozi nyeusi. "Hakika wazungu watatushangaa kuitana nyani, ikiwa wao wanatuona sisi sote kuwa ni manyani"
Ndio unaamka?,habari kutoka DRC hazijakufikiauswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
ULPOJIUNGA WALIKUWEKA KIAKOO ACHA UJINGA
TOKA KWA MDAWAKOO ALLAH
Nadhani umeishapata jibu.uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo