Yanga yaongoza kwa online engagements katika ukurasa rasmi wa CAF

Yanga yaongoza kwa online engagements katika ukurasa rasmi wa CAF

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.

Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi

Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika msiwe mnabisha

Nasindikizia na kapicha kadogo
Screenshot_20231001-100627~2.png
Screenshot_20231001-100512~2.png
Screenshot_20231001-100512.png
 
Hongera wananchi , Naona caf wameweka na picha ya fainali ya kihistoria jiji Algiers .
Washabiki wa soka barani afrika bado wana kumbukumbu ya yanga ya 2022-2023
Saaana,sema kiujumla wabongo tupo vizuri Kwa online engagements
Mkuu uikipata fursa kachungulie ukurasa wa X Shakhtar donesky anakochezea Mtanzania Miroshi

Admin wa ule ukurasa keshakuwa mjanja ahaaaaa

Kila akitaka huge page engagements basi ni lazima aposti picha ya Miroshi

Na wabongo washamwambia no Miroshi no engagements
 
Na ninajua admin wa huo ukurasa kuanzia hiyo Jana na kuendelea atakuwa anaiposti Yanga zaidi Ili kupata huge flow ya online engagements
Ukifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.

Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi

Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika msiwe mnabisha

Nasindikizia na kapicha kadogoView attachment 2768285View attachment 2768291View attachment 2768292
Kwa hiyo kuwa watatu kwa ubora ni kutokana na engagements na sio uwanjani
 
Saaana,sema kiujumla wabongo tupo vizuri Kwa online engagements
Mkuu uikipata fursa kachungulie ukurasa wa X Shakhtar donesky anakochezea Mtanzania Miroshi

Admin wa ule ukurasa keshakuwa mjanja ahaaaaa

Kila akitaka huge page engagements basi ni lazima aposti picha ya Miroshi

Na wabongo washamwambia no Miroshi no engagements
Admin Anataka maokoto ya Elon
 
Kweli uchizi upo.
Engagement ipi hapo sasa kijana wangu.
Hebu weka orodha ya timu zote tuone
 
kuna msemo, pira gamond, sijui nimepatia?

jana ya yanga imecheza mpira mkubwa sana, sema wapinzani waliamua kujilipua maana hawakuwa na cha kupoteza.
Naunga mkono hoja,tena mpira ulimwagika
 
Back
Top Bottom