Saaana,sema kiujumla wabongo tupo vizuri Kwa online engagementsHongera wananchi , Naona caf wameweka na picha ya fainali ya kihistoria jiji Algiers .
Washabiki wa soka barani afrika bado wana kumbukumbu ya yanga ya 2022-2023
Yanga ni litimu fulani likubwa hivi hata wale wekundu wanatambua hiloNa ninajua admin wa huo ukurasa kuanzia hiyo Jana na kuendelea atakuwa anaiposti Yanga zaidi Ili kupata huge flow ya online engagements
Na ninajua admin wa huo ukurasa kuanzia hiyo Jana na kuendelea atakuwa anaiposti Yanga zaidi Ili kupata huge flow ya online engagements
Kwa hiyo kuwa watatu kwa ubora ni kutokana na engagements na sio uwanjaniUkifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.
Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi
Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika msiwe mnabisha
Nasindikizia na kapicha kadogoView attachment 2768285View attachment 2768291View attachment 2768292
Admin Anataka maokoto ya ElonSaaana,sema kiujumla wabongo tupo vizuri Kwa online engagements
Mkuu uikipata fursa kachungulie ukurasa wa X Shakhtar donesky anakochezea Mtanzania Miroshi
Admin wa ule ukurasa keshakuwa mjanja ahaaaaa
Kila akitaka huge page engagements basi ni lazima aposti picha ya Miroshi
Na wabongo washamwambia no Miroshi no engagements
Makolo wakiona hii watajambaUkifuatilia ukurasa wa CAF kule mtandao wa X Kwa siku ya Jana tu timu ya Yanga ndo ilioongoza kwa engagements.
Ukiangalia kadi zote zilizopostiwa za kuvipongeza vilabu vilivyofuzu kuingia makundi ya CAF CL hakuna iliyoongoza kama uya Wananchi
Hivyo mkiambiwa kuwa siye ni watatu kwa Afrika msiwe mnabisha
Nasindikizia na kapicha kadogoView attachment 2768285View attachment 2768291View attachment 2768292
Imekuingia ichomoe polepole kolo bin mbumbumbuKweli uchizi upo.
Engagement ipi hapo sasa kijana wangu.
Hebu weka orodha ya timu zote tuone