uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba.
Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba.
Ingawa hadi Sasa team inayoongoza ni Manchester united ya Uingereza lakini wachambuzi wa mambo wanasema forum ya Yanga iliyoanzishwa na Gangi Chomba inaweza kwenda mbali zaidi endapo tu itafanikiwa kuchukua kombe la CafCL kwa kuwaondoa Al Ahly ya Misri.