Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

Nimeweka na ushahidi inabidi mkubwa ajulikane hapa kwenye jukwaa letu na mkubwa yanga ndio maana hadi Sasa ndio game bado inaongelewa zaidi huku ikionekana haijaisha tofauti na Yao ambayo inaonekana imeisha.
Naunga mkono hoja
 
Kazi Yao kufatilia Yanga SC wao timu Yao hawaifatiliii 😁🤣
Wameitelekeza Kila mechi wakitoka ni wao na Mangungu Mangungu na wao yani ukiondoa Samia jina la Mangungu limetajwa zaidi kuliko jina lingine
 
Utopolo wengi ni jobless na useless people,hata kwenye mabanda ya magazeti ukienda pale mengi yale ni matopolo huwa hayanaga kazi,yanazurura kama majibwa ya kiswahili tu,so sishangai hilo kuwa kweli.
 
Back
Top Bottom