Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba.

Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba.

Ingawa hadi Sasa team inayoongoza ni Manchester united ya Uingereza lakini wachambuzi wa mambo wanasema forum ya Yanga iliyoanzishwa na Gangi Chomba inaweza kwenda mbali zaidi endapo tu itafanikiwa kuchukua kombe la CafCL kwa kuwaondoa Al Ahly ya Misri.
 
Makolokolo watapinga wakidai umeedit, kweli uchawi na Makolokolo ni samaki na maji.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Nimeweka na ushahidi inabidi mkubwa ajulikane hapa kwenye jukwaa letu na mkubwa yanga ndio maana hadi Sasa ndio game bado inaongelewa zaidi huku ikionekana haijaisha tofauti na Yao ambayo inaonekana imeisha.
 
Gangi mbona unavuruga jina la kinyamwezi la jamaa
 
Utafiti: Mashabiki wa Yanga wanaongoza kwa wengi wao kuwa masikini kwa sababu ya kukosa shughuli rasmi za kujipatia kipato.

Ndio mana hata timu yao inaongoza kwa kuruhusu mashabiki wake kuingia Bure kwenye mechi zao na hata kugawa supu na chapati ili kuwanusuru na njaa pale jangwani.

Shabiki kama huyo huwa hana cha kujifariji zaidi ya kukopa bando na kusoma habari za Yanga masaa 24. Kwanini peji zao zisijae
 
Club above all
 
Aahaaa
 

Kwanini peji zao zisijae

Hahha uliwahi ku edit mwanzo umeandikia juu ya bodaboda ukaandika vitu vya ajabu ajabu
Ila sio kesi si tunaendelea kuongoza kwa takwimu kwa bando la kukopa
 
Uko sahihi nimejisahau ila kabla ya yote kwanza nimshukuru Mh kwa kuleta kiasi Cha milioni 5 kwa Kila goli
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wee jamaaa akili zako unazijua mwenyewe ahahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…