Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

Mleta Uzi dhumuni lake halikuwa kuiongelea Yanga Bali ni kuonyesha Simba kwamba IPO juu ya Yanga.Halafu unawekaje Takwimu bila kuweka source /chanzo Cha hizo Takwimu?
Nyuzi bila reliable sources zinatakiwa ziwe Facebook Na sio huku!
Daah, jamaa hamna zuri kwangu kila kitu nacholeta kwenu ni kibaya
 
Mwanzo mzuri viongoz wawekeze nguvu Zaid kimataifa kwa kuleta wachezaji wenye uzoefu na njaa ya mafanikio

Simba imeonyesha njia wengne wanafuata Azam Kaz kwenu nanyi

Lamba lamba wana poor management
 
huu ni uhuni. Yanga kampiga Mazembe nje ndani, bado mazembe kipgwa ovyo lakini bado mazembe yupo 13 yanga 31
Hii huwa ni calculations za miaka mitano iliyopita, na kila mwaka una weight yake inayopungua kadiri miaka inavyorudi nyuma, na kadiri ya mashindano uliyoshiriki (Klabu Bingwa ina index kubwa kuliko Shirikisho). Kwa hiyo kama Namungo walishiriki hivi karibuni kuliko Azam na wakafika ngazi kubwa, ni lazima wawe juu yao.
 
Based on 5years ranking. Najiuliza yanga miaka minne nyuma ilikuaje mbona mnataka kutukoroga tusio jua maswala ya mpira. Huyo simba mwenyewe mbona nikigoogle simuoni tupumzisheni basi sisi tulio neutral😂😂😂
 
 

Ukitaka kuwaudhi CAF, iguse Simba 😀
 
Nasikitika kuwataarifu ndugu zangu Watanzania kua wenye akili Uto bado ni wale wale wawili.
 
Wenye akili yanga ni wawili tu.

Africa Soccer Zone

May 16, 2022 ·

CLUB RANKINGS for 2022/23 CAF Competitions after this weekends matches!
1. Al Ahly
2. Wydad
3. Espérance
4. Raja
5. RS Berkane
6. Sundowns
7. TP Mazembe
8. Zamalek
9. Pyramids FC
10. Orlando Pirates
11. Etoile Sahel
12. Horoya
12. Petro Atletico
14. Simba SC
14. ES Sétif
16. CR Belouizdad
17. JS Kabylie
18. Kaizer Chiefs
19. Al-Hilal
20. Al-Masry
20. CS Sfaxien
22. Vita Club
22. Enyimba
24. Ahli Tripoli
25. Coton Sport
26. MC Alger
26. Hassania Agadir
28. Al-Ittihad
28. AmaZulu
28. 1° de Agosto
31. Al-Merrikh
31. JS Saoura
33. Zanaco
34. ASEC Mimosas
34. ASC Jaraaf
34. Nkana
37. AS Otoho
37. Al Nasr
37. Zesco
37. CS Constantine
41. Galaxy
41. Sagrada Esperança
41. USM Alger
41. Rangers
41. FC Platinum
41. Gor Mahia
47. Teungueth
47. Club Africain
47. Lobi Stars
50. Djoliba
51. Salitas
51. Paradou AC
51. DCMP
54. USGN
54. Royal Leopards
56. Ahly Benghazi
56. Namungo
56. NAPSA Stars
56. Asante Kotoko
56. NA Hussein Dey
56. Ismaily
56. CARA Brazzaville
56. Difaâ El-Jadidi
56. KCCA
56. Rayon Sports
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Ulichofanya umedit hiyo ilikuwafurahisha wenzako japo pia haitokana na Source rasmi ya CAF
 
Hii ni punyeto kabisa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Based on 5years ranking. Najiuliza yanga miaka minne nyuma ilikuaje mbona mnataka kutukoroga tusio jua maswala ya mpira. Huyo simba mwenyewe mbona nikigoogle simuoni tupumzisheni basi sisi tulio neutral😂😂😂
Huoni walivyovurunda vurunda hata kwenye,haya ya sasa,ilhali wenzao tumesererekea Kitonga🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…