Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

Hii ndo ya kweli
 
Afadhali na hongereni.Ila tisa kwa ishirini na nane ni mbali sana.Japo wachambuzi wa kibongo wamawapaisha sana kwenye mike.
 
Mwaka huu itakuwa ndani ya tano Bora. Tehee
 
Ina maana yanga mwaka huu ndo wameanza kuwa serious na soka?

Eti wanapongezwa kwa kushika nafasi ya 28 wakati Simba wapo top 10.
Tulipokuwa sio sawa na tulipo,maendeleo ni hatua,kwa kuwa ubora wa timu kwa afrika unapimwa kwa ushiriki wake ktk CAF competetions naiona yanga ikiwa top 15 within miaka 4 ijayo ,tuvute subra kwani muda hunena lakin kwa mafanikio ya mwaka huu yanga tusibezwe,na ni mwanzo mzur hasa for experience.
kuna muda tuache ushabiki tuongee facts
 
huu ni uhuni. Yanga kampiga Mazembe nje ndani, bado mazembe kipgwa ovyo lakini bado mazembe yupo 13 yanga 31
Wanapima kwa kuangalia matokeao ya miaka 5 nyuma na kila performance ya mwaka husika inamatter kwani ina points zake
 
huu ni uhuni. Yanga kampiga Mazembe nje ndani, bado mazembe kipgwa ovyo lakini bado mazembe yupo 13 yanga 31
CAF wahuni sana, wanatuhujumu. Tatizo makolo wana watu wao pale CAF, kila siku CAF wanawapost makolo kwenye page zao
 
Timu ni ya 30 halafu watu wanafurahia! Hii ni aibu!! Hakuna kitu kinachoitwa 30 bora!! Mwisho ni kumi bora full stop!! Ndani ya 10 bora kuna Simba!! "wananchi" jiulizeni mnakwama wapi??
 
Imeongoza Kundi D katika mechi za CAF
Siyo mechi za caf ni mechi za caf confederation cup!! Yaani timu zilizoshindwa kuingia au kuendelea/losers kwenye michuano ya mabingwa!! Simba iliongoza kwenye group la michuano ya mabingwa mbele ya AL Ahly!!
 
Sasa hivi pamoja Na Simba kuangukia pua kwa Kila mashindano ,wachambuzi njaa lazima waje na Takwimu ZAo fake (bila reliable source) ili mradi TU waiweke Simba iwe juu ya Yanga!
 
Siyo mechi za caf ni mechi za caf confederation cup!! Yaani timu zilizoshindwa kuingia au kuendelea/losers kwenye michuano ya mabingwa!! Simba iliongoza kwenye group la michuano ya mabingwa mbele ya AL Ahly!!
Rage aliona mbali kuongoza kundi ni mafanikio,? Confederation sio mashindano ya CAF? tofauti yako na makalio ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…