Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

FIFA inawasubiria palee.

Endeleeni kusajili ilihali mmefungiwa kutosajili
 
Nmefuata link hapo juu nmeona hata wale Ma intern wa wakiso waliopo Utopwax
 
Kama Mamadou Doumbia ataachwa, litakuwa ni jambo jema. Maana kwa aina ya ligi yetu, angekuwa tu uchochoro kutokana na kukosa kwake spidi ya kukimbizama na washambuliaji hatari.

Viongozi wakubali tu kuingia hasara kama walivyofanya kwa Gael Birimana, baada ya kuingia cha kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…