Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
ulitaka wakachukuliwe MBINGUNI?Huku kuokoteza wachezaji kutatugharimu kushika nafasi ya pili na kuwaachia Azam ubingwa.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulitaka wakachukuliwe MBINGUNI?Huku kuokoteza wachezaji kutatugharimu kushika nafasi ya pili na kuwaachia Azam ubingwa.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Watu wanamuona Eng. kama Mungu wao, ngoja waje uwaone.Zoazoa inaanza sasa, hela zote kafinya injinia kwa kisingizio cha kulipa madeni.
Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia.
Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
😁😁😁😁😁Ila hii comment imekaa kama onyo kwa viongozi wa yanga na tusi kule dundukani, heko al Etihad mnawaita azamHuku kuokoteza wachezaji kutatugharimu kushika nafasi ya pili na kuwaachia Azam ubingwa.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app