DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
TBC NI UKWELI & UHAKIKA ?Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.
Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?
Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa na kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Heheee kimasihara, Maraaaaa panga shwaaaaaaaaah ohoooooooo
Fullstop,kwishaaaa
Wamejiandaa kumpa uwaziri wa michezoMimi naomba fifa wampige stop hersi ya kutojihusisha na soka mwaka mmoja iwe fundisho kwa machawa wengine
Lakini pia fifa waufungie uwanja wa mkapa kwa mapicha ya mama Samia kuzidi kuwa mwengi kuliko hata idadi ya mashabiki
Mkuu fifa hawana macheko, kenya wanawajua haswaaWamejiandaa kumpa uwaziri wa michezo
kuna ukweli kwenye hili?
Wamepelekaje?
Iko wapi barua?
Iko wapi video?
Aiseeeeeee
Katika utetezi wao wanasema pia ile video iliyosambaa ilidukuliwa na kwamba Hersi hakutamka maneno yale.TBC NI UKWELI & UHAKIKA ?
Kwa kiasi wamewaweka mfukoni na ukizingatia wamekuwa nao karibu sana kwenye kipindi hiki cha uchaguzi wa TFF na mambo ya CHAN. Nadhani hili litapita.Mkuu fifa hawana macheko, kenya wanawajua haswaa
Fullstop, kwishaaaaa
Mkuu fifa alisimamishwa sepp blater, leo hii yanga mkuu, kuna fifa na caf, fifa wakikuvalia njuga hutoboiKwa kiasi wamewaweka mfukoni na ukizingatia wamekuwa nao karibu sana kwenye kipindi hiki cha uchaguzi wa TFF na mambo ya CHAN. Nadhani hili litapita.
Kesi ingekuwa nzito zaidi kama timu nyingine kama Simba wangelivalia njuga ila wamekaa pembeni maana wote lao moja.
Yanga italazimika kumkana Injinia kuwa alijiropokea maana hakuna vikao vilivyoamua hill. Kama ni rungu limuangukie Injinia peke yake.
Ndiyo maana nasema wamejiandaa kwa hilo. Wanakuja kumpa uwaziri wa huko huko kwenye michezo kuonyesha kwamba hawayumbishwi na kwamba "ukiwatetea nao watakulinda".Mkuu fifa alisimamishwa sepp blater, leo hii yanga mkuu, kuna fifa na caf, fifa wakikuvalia njuga hutoboi
Fullstop, kwishaaaaaa
Hapo tukichangia itakua tunabishana na tetesi nafkiri tungepata kwanza uhakika Wa hiyo barua ndipo tufungukeBaada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.
Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?
Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Time will tellNdiyo maana nasema wamejiandaa kwa hilo. Wanakuja kumpa uwaziri wa huko huko kwenye michezo kuonyesha kwamba hawayumbishwi na kwamba "ukiwatetea nao watakulinda".